sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hivi hawa wanaotengeneza hii bia yangu pendwa ya "Serengeti Platnum" wanamlipa kweli huyu mshiriki wa BET "Diamond Platnum", mana wamemwibia jina lake"? HOD hebu ongea na boss wako muwashitaki hawa watu wa SBL, mana wanapga hela sana kupitia kwa Jina "kubwa" la Boss wako.