Mnyonge mnyongeni lakini......

Mnyonge mnyongeni lakini......

Hivi hawa wanaotengeneza hii bia yangu pendwa ya "Serengeti Platnum" wanamlipa kweli huyu mshiriki wa BET "Diamond Platnum", mana wamemwibia jina lake"? HOD hebu ongea na boss wako muwashitaki hawa watu wa SBL, mana wanapga hela sana kupitia kwa Jina "kubwa" la Boss wako.
 
Picha nyingi za Diamondi huwa anapiga kwa pozi la kuonyesha "insecurity"...
KUna klitu kinamnyima confidence... Sijui ana at least manager wa kumsaidia maana amefanikiwa kupata international exposure sasa, lazima atumie vizuri nafasi hii, la sivyo atabaki kuwa wa bongo tu!

Congrats kijana ongeza bidii.

Labda anasoma English course kwenye evening program kama mama Mwanaasha!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Sijui kwa nn watz mnamwona Diamond hajui kingereza ,wakati mastaa wote huongea nao kwa lugha hiyo hiyo tena vizuri tu..angalia clip akihojiwa na demu wa chriss brown karrueche kwenye red carpet ndio ujue alkua anaongea kabila gani

wanazani kwavile the boss elimu haba na kingereza hakujifunza! kwa taarifa yenu english kama upo makini miezi mitatu ukienda british council unakuwa poa + madame mbona wiki tu
 
Sijui kwa nn watz mnamwona Diamond hajui kingereza ,wakati mastaa wote huongea nao kwa lugha hiyo hiyo tena vizuri tu..angalia clip akihojiwa na demu wa chriss brown karrueche kwenye red carpet ndio ujue alkua anaongea kabila gani

mkuu mi naomba ufafanuzi wa HWF nikweli jina lipo ama halipo?
 
Sijui kwa nn watz mnamwona Diamond hajui kingereza ,wakati mastaa wote huongea nao kwa lugha hiyo hiyo tena vizuri tu..angalia clip akihojiwa na demu wa chriss brown karrueche kwenye red carpet ndio ujue alkua anaongea kabila gani

Tusiandikie mate,ngoja wajionee wenyewe jinsi alivyo vunja yai mtoto wa kwa mtogole.clip hii hapa.

https://m.youtube.com/watch?v=SVvt_fdebX0
 
I don't need to because I'm not in the showbiz industry. And Nelly is a washed-up has-been, anyway.

But I get it why you folks think it's such a biggie.

We are all from the same shit brother,don't act as if you are coming from Hollywood and u er used to hanging around with super stars.At some point in your life it was a big deal to you too.

Halafu nyie ndio wale mnao piga picha na magari ya watu huko marekani halafu mnatuma Bongo mnasema ya kwenu na kuwa ni vitu vya kawaida huk😵vyooo kabisa.
 
I'm far from Hollywood you little punk.

Tout au contraire!

Kwanza ni nadra sana mimi kupiga picha. Pili, Marekani mtu kuwa na gari si jambo la ajabu. Idadi kubwa ya watu wana magari. Sasa kupiga picha na magari ya watu ni ushamba, kwa mtazamo wangu.

Sasa sijui unamwongelea nani hapo!
 
Wewe si unapiga picha na hummer,Bently halafu unatuma kwa ndugu zako bongo kuwa ni yako!!! Umesahau brother!! Hayo si magari ya kawaida pia kwako unakutana nayo tu store Hahahahaaaaaa

msahau alipotoka ni mtumwa ndugu,hukuzaliwa ukijua kuwa utakuwa "unakutana nao kwenye store",hahahahahaaa
 
Hongera ndugu Almasi ila chonde chondeeeee usije kutuambia Nelly alikutafuta red carpet mujifotoe na muombe hawara yako nae asikurupuke kuhusu hii picha maana caption zenye utata tumechoka hakawii "Nelly ahaha kumuomba babe ake apige nae picha".
Mmmmh ila hili nalo tunajipongeza mpaka dunia ya leo mweeee.
HONGERA.
 
Hivi hawa wanaotengeneza hii bia yangu pendwa ya "Serengeti Platnum" wanamlipa kweli huyu mshiriki wa BET "Diamond Platnum", mana wamemwibia jina lake"? HOD hebu ongea na boss wako muwashitaki hawa watu wa SBL, mana wanapga hela sana kupitia kwa Jina "kubwa" la Boss wako.

Ahahahahahaaaaaaa!!!!acha kunichekesha mkuu.
 
Hongera ndugu Almasi ila chonde chondeeeee usije kutuambia Nelly alikutafuta red carpet mujifotoe na muombe hawara yako nae asikurupuke kuhusu hii picha maana caption zenye utata tumechoka hakawii "Nelly ahaha kumuomba babe ake apige nae picha".
Mmmmh ila hili nalo tunajipongeza mpaka dunia ya leo mweeee.
HONGERA.

Teh hakawii uyo kusema kaombwa collabo angepiga na huyu nae angesema wanampango wakurekodi muvi au... lol
 
Attachments

  • 1404160441139.jpg
    1404160441139.jpg
    37 KB · Views: 152
Watu washa edit hizo picha jamani ila dah bongovkweli wakaanga sumu wengi ... jamaa kajitahidi kwa hilo anahitaji pongezi sana
 
Wakaanga sumu wamesha fanya yao dah.... haters will become believers tu... this is bad
 
Attachments

  • 1404161439790.jpg
    1404161439790.jpg
    70.8 KB · Views: 155
  • 1404161464475.jpg
    1404161464475.jpg
    85.6 KB · Views: 140
Teh hakawii uyo kusema kaombwa collabo angepiga na huyu nae angesema wanampango wakurekodi muvi au... lol

Watu washauza sura na mastaa wakubwa kitambo ,leo hii ndomo kupiga picha na nelly bas anataka ndo iwe habar ya mjini
 
Back
Top Bottom