Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Hizo award bubu zinaitwa hahaha maana kila kukicha from no where inazuka nyingine! Anyway thats africa
 
Hizo award bubu zinaitwa hahaha maana kila kukicha from no where inazuka nyingine! Anyway thats africa
Duh! Awards Bubu?! Unaonaje ungesema hizi awards wewe binafsi huzifahamu badala ya kusema ni awards bubu? Nenda pale Kariakoo kaanze kuwauliza Wamachinga ikiwa wanaifahamu Harvard University!!!! Nenda pande za Mchikichini waulize ikiwa wanamfahamu Jack Ma mwenye utajiri wa takriban Sh.50 trilion!!! Niishie tu kusema kwamba, tuzo zingine ni za kishua ambazo hutakaa umsikie Adam Mchomvu akizitangaza kupitia Clouds FM!

Wakati nakuachia changamoto ya wewe kunitafutia article/web content yoyote kutoka kwenye worldwide respected source inayohusu KTMA ambayo sina shaka unaifahamu, kwanza jitulize hapa:
More on Forbes
Ukiweka mkazo kwenye BOLD RED & BLUE ndipo unaweza kupata picha kuhusu hadhi ya hizo tuzo as compared na maelezo yako kwamba eti ni TUZO BUBU na kwa hakika, mwaka huu:
 
mbona wamenyoooka kotekote? kura za maoni wameshika mkia hakua mjanja angemtumia kiba amuombee kura teh teh teh teh sijui angekubari kuvaa gauni?
 

Hahahahaaaaa...huyu naye ushamnyoosha kuvamia asoyajua...
Mkuu huwa na kukubali sana maana unajua kuwanyoosha majirani kwa Facts n Evidencs zilizoshiba hoja znajieleza zenyewe/self-explanatory points.
 
and the winner is..................DIAMOND PLATNUMMZZZZZZZZZZZZZ..A.A.A.Tuzo special ya heshimaaaaaaaaaaaaa

Nimeipenda iyo tuzo coz ni tuzo ya heshima, hawakuwa na haja ya kuhitaji kura za mashabiki ila kwa Africa nzima wakamuona diamond ndo anastahili, imenifanya nimuone diamond ni king of african artists,,, natamani niandike mengi ila nashindwa jamani, am happy,,,, keep it up our platinumz,,,

Hongera na kikwete kwa kupata tuzo ya kiongozi bora wa Africa,,
 

Nakupendeaga hapo tu my chige upo na facts hadi raha, huwa hukurupuki kishabiki
 
Last edited by a moderator:
Hivi diamond hizo pesa za nauli mara south afrika mara nigeria nani anampa? nakumbuka swaiba yangu Juma Nature alichaguliwa kugombea tuzo Sweden nauli ya kwenda huko alikuwa hana ,, ilibidi tufanye harambee tumchangie nauli.
 

Mkuu chige si kwa kunyoosha huku, maana umetumia nyundo ya kupasulia mawe kuua sisimizi. Watanyooka tu.
 
Last edited by a moderator:

Anastahili kilicho bora kabisa DIAMOND kwa Hustle zake
 
Hizo award bubu zinaitwa hahaha maana kila kukicha from no where inazuka nyingine! Anyway thats africa

Ata kupata zawadi bubu nayo mafanikio jmn kibakuli anazitafta kila kukicha, kaishia kulinda tembo mbugan
 
Mimi Simkubali Kabisa Huyu Mr.Domokapu.Coz Anauwezo Mkubwa Mitandaoni Kuliko Jukwaani.Na Hizi Tuzo Zake Horera Anazopewa Zinazihirisha Uwezo Wake Mdogo Alionao.Na Atapata Tuzo Nyingi Tu Mbovu Mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…