lapo elkann
Member
- Jul 11, 2015
- 67
- 19
Hizo award bubu zinaitwa hahaha maana kila kukicha from no where inazuka nyingine! Anyway thats africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Awards Bubu?! Unaonaje ungesema hizi awards wewe binafsi huzifahamu badala ya kusema ni awards bubu? Nenda pale Kariakoo kaanze kuwauliza Wamachinga ikiwa wanaifahamu Harvard University!!!! Nenda pande za Mchikichini waulize ikiwa wanamfahamu Jack Ma mwenye utajiri wa takriban Sh.50 trilion!!! Niishie tu kusema kwamba, tuzo zingine ni za kishua ambazo hutakaa umsikie Adam Mchomvu akizitangaza kupitia Clouds FM!Hizo award bubu zinaitwa hahaha maana kila kukicha from no where inazuka nyingine! Anyway thats africa
Tonye Rex Idaminabo, a 29 year-old Nigerian lawyer and entrepreneur, is the founder of African Achievers Awards, a set of annual awards bestowed on Africa's most accomplished achievers in politics, diplomacy and entrepreneurship. Now in its fourth year, the African Achievers Awards recognizes individuals and organizations that selflessly devote their time and talents toward improving Africa's international profile and building stronger, integrated communities in Africa. Previous recipients of the award have included Nobel Prize winner Archbishop Desmond Tutu, Zimbabwean businesswoman Divine Ndhlukula, the Kofi Annan Foundation and Nigerian media mogul John Momoh.
More on ForbesThe fourth edition was recently held in Ghana at the Presidential Banquet Hall of the State House under the patronage of Ghana's President John Mahama. It was attended by several prominent African businessmen, celebrities and members of the diplomatic corps. I caught up with Rex, who spoke to me about the African Achievers Awards, his journey so far and his plans for the future.

Kweli nyota y mganda kali toka amekua nae n tuzo 2 ....bibie cjui alikua n gundu au manyota yke hayakua y tuzo
Duh! Awards Bubu?! Unaonaje ungesema hizi awards wewe binafsi huzifahamu badala ya kusema ni awards bubu? Nenda pale Kariakoo kaanze kuwauliza Wamachinga ikiwa wanaifahamu Harvard University!!!! Nenda pande za Mchikichini waulize ikiwa wanamfahamu Jack Ma mwenye utajiri wa takriban Sh.50 trilion!!! Niishie tu kusema kwamba, tuzo zingine ni za kishua ambazo hutakaa umsikie Adam Mchomvu akizitangaza kupitia Clouds FM!
Wakati nakuachia changamoto ya wewe kunitafutia article/web content yoyote kutoka kwenye worldwide respected source inayohusu KTMA ambayo sina shaka unaifahamu, kwanza jitulize hapa:
More on Forbes
Ukiweka mkazo kwenye BOLD RED & BLUE ndipo unaweza kupata picha kuhusu hadhi ya hizo tuzo as compared na maelezo yako kwamba eti ni TUZO BUBU na kwa hakika, mwaka huu:
View attachment 271163
Hizi ni special kwa WASWAHILI wenye heshima zaooooo!!
and the winner is..................DIAMOND PLATNUMMZZZZZZZZZZZZZ..A.A.A.Tuzo special ya heshimaaaaaaaaaaaaa
tuzo za kununua hovyooo
Wewe ni jokate au wemasepetu..??
Duh! Awards Bubu?! Unaonaje ungesema hizi awards wewe binafsi huzifahamu badala ya kusema ni awards bubu? Nenda pale Kariakoo kaanze kuwauliza Wamachinga ikiwa wanaifahamu Harvard University!!!! Nenda pande za Mchikichini waulize ikiwa wanamfahamu Jack Ma mwenye utajiri wa takriban Sh.50 trilion!!! Niishie tu kusema kwamba, tuzo zingine ni za kishua ambazo hutakaa umsikie Adam Mchomvu akizitangaza kupitia Clouds FM!
Wakati nakuachia changamoto ya wewe kunitafutia article/web content yoyote kutoka kwenye worldwide respected source inayohusu KTMA ambayo sina shaka unaifahamu, kwanza jitulize hapa:
More on Forbes
Ukiweka mkazo kwenye BOLD RED & BLUE ndipo unaweza kupata picha kuhusu hadhi ya hizo tuzo as compared na maelezo yako kwamba eti ni TUZO BUBU na kwa hakika, mwaka huu:
View attachment 271163
jitahidi mond kwani one day utakua level moja na kiba tunajua king yupo juu yako

Nimeipenda iyo tuzo coz ni tuzo ya heshima, hawakuwa na haja ya kuhitaji kura za mashabiki ila kwa Africa nzima wakamuona diamond ndo anastahili, imenifanya nimuone diamond ni king of african artists,,, natamani niandike mengi ila nashindwa jamani, am happy,,,, keep it up our platinumz,,,
Hongera na kikwete kwa kupata tuzo ya kiongozi bora wa Africa,,