Sayansi hiyo ni weak sana mkuu kwenye teknolojia. Ndo mana wasafisha nyota maskini wakati wauza internet matajiri. Mm nafaham hizi sayansi zinkuwa na nguvu kadri unavyoziaminiIla hizi ishu za kuchafuliwa nyota sometimes mmakinike nazo sana! Kuna utapeli mkubwa sana kwenye ishu za nyota
Ndio maana wengine hukimbia mbali na kujitenga kabisa na nduguWakati mwingine nashauri kijana Bora uonekane Una roho mbaya maana unaweza kujikuta unatumia pesa zako kulipa madeni na Kutatua matatizo ya ndugu zako Kila mara...Lazima ujifunze kusema hapana bila hivyo hutoboi.
Ndo mana wasafisha nyota maskini wakati wauza internet matajiri.💪🏿😀😀😀Sayansi hiyo ni weak sana mkuu kwenye teknolojia. Ndo mana wasafisha nyota maskini wakati wauza internet matajiri. Mm nafaham hizi sayansi zinkuwa na nguvu kadri unavyoziamini
Nakupata ndugu yangu, ukifikria kwa kina dhana ya umaskini iko na utatanishi sana.Mbaya zaidi umaskini upo ili matajiri wanufaike nao. Hiyo ndo structure ilivyo, mana utajiri na umaskini ni pande mbili zilizo kwemye sarafu moja. Ukiona kuna maskini hata hela ya kula hana, hao ndo wanauza nguvu zao bei rahis kwq bahresa aendelee kupiga hela
Ila huyu jamaa nataka nimuoshe nyota ndugu zako hawapendi maendeleo yake 😅Ndo mana wasafisha nyota maskini wakati wauza internet matajiri.💪🏿😀😀😀
As i do, mm ndugu kunipigia sim awe na la maana na hawez kuja ninapoishi. Muhim n mm kuishi kivyangu, hakuna ndugu hat mmoja kupata funguo ya kujua naishi vipNdio maana wengine hukimbia mbali na kujitenga kabisa na ndugu
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema mnyororo wa umaskini utakatika pale maskini atakapo acha kuzaa!Mleta
Nakupata ndugu yangu, ukifikria kwa kina dhana ya umaskini iko na utatanishi sana.
Kwa upande mwingine wa kiimani kuna andiko tena limetoka kwa kinywa cha Mungu kwanba maskini hatakoma kuwepo malangoni pako, kwamba mpaka mzunguko wa dunia unakamilika umaskini hauta isha kamwe.
Sasa pambana unavyo weza kama upo kwenye fungu la umaskini ni neema ya Mungu pekee itako weza kukuvusha.
Binafsi roho huwa ina niuma sana ninapo waangalia wototo na mke wangu, pale ninapotazama na kuona namna ya kuutoka umaskini imekuwa ngumu , kwa hio kwa sababu yangu nao wanaweza kubaki kwenye umaskini daima kwa sababu ya mimi!!
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema mnyororo wa umaskini utakatika pale maskini atakapo acha kuzaa!
Nakaribia kuamini!
Yeah, wengine wanajichimbia chimbo Kwanza.Ndio maana wengine hukimbia mbali na kujitenga kabisa na ndugu
Hilo haliwezekaniNa naona hapa kwenye darubini washakuchafua nyota 😀
Mbna inawezekan cha msingi kubali lawama na uwakatae hao ndugu wote ujipange ww km ww kwanzaVicious cycle of poverty
Baada ya kukaa mtaani (in a survival mode) kwa miaka zaidi ya saba, nimepata ajira mwaka jana hata bado sijathibitishwa kazini tayari ndugu watatu watu wazima wameshatoa oda wanataka kuja kukaa kwangu.
Nawaza huu mnyororo hautoweza kukatikia kwangu.
😁😁inasemekana Mungu hana upendeleo 🥺🙇🏿♂
Kwanza kwa hakika kabisa Mungu wetu si tapeli.. Pili tunu na thamani ya mila na desturi zetu ni kubwa kuliko tunavyodhani