Mnyororo wa Umaskini: Jela ya Kifamilia na Ukoo inavyozima Ndoto nyingi

Mnyororo wa Umaskini: Jela ya Kifamilia na Ukoo inavyozima Ndoto nyingi

Kwanza kwa hakika kabisa Mungu wetu si tapeli.. Pili tunu na thamani ya mila na desturi zetu ni kubwa kuliko tunavyodhani
Tulipotoshwa na tukapotoka na vya kwetu kwamba havina maana kwakuwa tulikuwa tunaandaliwa kutawaliwa
Kisaikolojia
Kiimani
Kiuchumi
Kiulizi
Kiutamaduni na mila na desturi
Sijui chochote kuhusu mila na desturi
Siku nikiwaona wazazi nitawauliza
 
Hilo haliwezekani
Ila hilo jina lako mkuu limenichekesha kidogo.

Kwetu neno NYOLODO linatumika kumaanisha kitu kichafuu ambacho hata kukishika/kukitazama kinatia kinyaa

Hope ww ni mtu wa pwani kama hilo jina linashabihiana na maana niliyotoa
Nyolodo ni kitu kilichochafuka vibaya na maji
 
Hii mada ni kwa heshima ya Red black ni kama nyongeza ya ufafanuzi kwenye mada yake ya Leo kuhusu mnyororo wa umaskini
Red black kongole kubwa kwa kutupa tafakuri jadidi siku ya Leo💪🏿View attachment 3586074
Waafrika maskini wanapenda kuzaliana kama mapanya kuleta watoto kwenye shida na umaskini.

Halafu wengi walivyo wajinga wanakwambia watoto ni baraka.

Wanazaa watoto kuja kuwatesa tu!
 
Waafrika maskini wanapenda kuzaliana kama mapanya kuleta watoto kwenye shida na umaskini.

Halafu wengi walivyo wajinga wanakwambia watoto ni baraka.

Wanazaa watoto kuja kuwatesa tu!
Watoto walikuwa ni baraka kipindi hicho kwakuwa kila kitu kilikuwepo na ziada juu
Na kila mtoto aliyezaliwa alipewa sehemu ya vilivyopo aendeleze
 
Maskini wanazaliana kama panya ,ili kuvunja huu mfumo wa unyonyaji na umasikini ni masikini kuacha kuzaliana ,tabaka nyonyaji watakosa watumwa wa kuwatawala na kuwanyonya kama slave labour na soko lao
 
Back
Top Bottom