Sijui chochote kuhusu mila na desturiKwanza kwa hakika kabisa Mungu wetu si tapeli.. Pili tunu na thamani ya mila na desturi zetu ni kubwa kuliko tunavyodhani
Tulipotoshwa na tukapotoka na vya kwetu kwamba havina maana kwakuwa tulikuwa tunaandaliwa kutawaliwa
Kisaikolojia
Kiimani
Kiuchumi
Kiulizi
Kiutamaduni na mila na desturi
Mila na desturi zinasomwa wapi?Jifunze kutafiti na kutafuta maarifa
Jifunze kuhoji na kujisomea
Simply learn from the best!
To me, no hard feeling
To me, no hard feeling
Nyolodo ni kitu kilichochafuka vibaya na majiHilo haliwezekani
Ila hilo jina lako mkuu limenichekesha kidogo.
Kwetu neno NYOLODO linatumika kumaanisha kitu kichafuu ambacho hata kukishika/kukitazama kinatia kinyaa
Hope ww ni mtu wa pwani kama hilo jina linashabihiana na maana niliyotoa
Basi ww ni wa kanda ya pwani mwenzanguNyolodo ni kitu kilichochafuka vibaya na maji
Waafrika maskini wanapenda kuzaliana kama mapanya kuleta watoto kwenye shida na umaskini.Hii mada ni kwa heshima ya Red black ni kama nyongeza ya ufafanuzi kwenye mada yake ya Leo kuhusu mnyororo wa umaskini
Red black kongole kubwa kwa kutupa tafakuri jadidi siku ya Leo💪🏿View attachment 3586074
Kukata chain ya umasikini kwenye familia za kiafrica inahitajika nguvu ya Ziada.
![]()
#first born hakikisheni mnajitahidi kukata chain ya umasikini kwa namna yoyote ile.
- Red black
- familia inahitajika kukata kuvunja nguvu umasikini
- Replies: 69
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Yap! Kwa wehu wehu na wanaoamin kut3seka ni uzalendoBasi ww ni wa kanda ya pwani mwenzangu
Utasikia umenyolodoka😁Nyolodo ni kitu kilichochafuka vibaya na maji
Ewaaaah!Utasikia umenyolodoka😁
Kwa perspective yao! Ni hiyo ni long term fatalism mana mawazo ya mababu wa miaka ya 1700 hadi leo yapo humohumoWaafrika maskini wanapenda kuzaliana kama mapanya kuleta watoto kwenye shida na umaskini.
Halafu wengi walivyo wajinga wanakwambia watoto ni baraka.
Wanazaa watoto kuja kuwatesa tu!
Watoto walikuwa ni baraka kipindi hicho kwakuwa kila kitu kilikuwepo na ziada juuWaafrika maskini wanapenda kuzaliana kama mapanya kuleta watoto kwenye shida na umaskini.
Halafu wengi walivyo wajinga wanakwambia watoto ni baraka.
Wanazaa watoto kuja kuwatesa tu!