Mnyororo wa Umaskini: Jela ya Kifamilia na Ukoo inavyozima Ndoto nyingi

Ila hizi ishu za kuchafuliwa nyota sometimes mmakinike nazo sana! Kuna utapeli mkubwa sana kwenye ishu za nyota
Sayansi hiyo ni weak sana mkuu kwenye teknolojia. Ndo mana wasafisha nyota maskini wakati wauza internet matajiri. Mm nafaham hizi sayansi zinkuwa na nguvu kadri unavyoziamini
 
Wakati mwingine nashauri kijana Bora uonekane Una roho mbaya maana unaweza kujikuta unatumia pesa zako kulipa madeni na Kutatua matatizo ya ndugu zako Kila mara...Lazima ujifunze kusema hapana bila hivyo hutoboi.
Ndio maana wengine hukimbia mbali na kujitenga kabisa na ndugu
 
Sayansi hiyo ni weak sana mkuu kwenye teknolojia. Ndo mana wasafisha nyota maskini wakati wauza internet matajiri. Mm nafaham hizi sayansi zinkuwa na nguvu kadri unavyoziamini
Ndo mana wasafisha nyota maskini wakati wauza internet matajiri.πŸ’ͺπŸΏπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nakupata ndugu yangu, ukifikria kwa kina dhana ya umaskini iko na utatanishi sana.

Kwa upande mwingine wa kiimani kuna andiko tena limetoka kwa kinywa cha Mungu kwanba maskini hatakoma kuwepo malangoni pako, kwamba mpaka mzunguko wa dunia unakamilika umaskini hauta isha kamwe.

Sasa pambana unavyo weza kama upo kwenye fungu la umaskini ni neema ya Mungu pekee itako weza kukuvusha.

Binafsi roho huwa ina niuma sana ninapo waangalia wototo na mke wangu, pale ninapotazama na kuona namna ya kuutoka umaskini imekuwa ngumu , kwa hio kwa sababu yangu nao wanaweza kubaki kwenye umaskini daima kwa sababu ya mimi!!

Kuna mtu mmoja aliwahi kusema mnyororo wa umaskini utakatika pale maskini atakapo acha kuzaa!
Nakaribia kuamini!
 
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema mnyororo wa umaskini utakatika pale maskini atakapo acha kuzaa!
Nakaribia kuamini
πŸ₯ΊπŸ˜©
 
Na naona hapa kwenye darubini washakuchafua nyota πŸ˜€
Hilo haliwezekani
Ila hilo jina lako mkuu limenichekesha kidogo.

Kwetu neno NYOLODO linatumika kumaanisha kitu kichafuu ambacho hata kukishika/kukitazama kinatia kinyaa

Hope ww ni mtu wa pwani kama hilo jina linashabihiana na maana niliyotoa
 
Mbna inawezekan cha msingi kubali lawama na uwakatae hao ndugu wote ujipange ww km ww kwanza
 
😁😁
Kwanza kwa hakika kabisa Mungu wetu si tapeli.. Pili tunu na thamani ya mila na desturi zetu ni kubwa kuliko tunavyodhani
Tulipotoshwa na tukapotoka na vya kwetu kwamba havina maana kwakuwa tulikuwa tunaandaliwa kutawaliwa
Kisaikolojia
Kiimani
Kiuchumi
Kiulizi
Kiutamaduni na mila na desturi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…