MO achafukwa ahoji mchakato wa mabadiliko kwenye uwanja wa komenti ukurasa wa Simba

MO achafukwa ahoji mchakato wa mabadiliko kwenye uwanja wa komenti ukurasa wa Simba

Joined
Feb 4, 2026
Posts
11
Reaction score
9
Mjadala mzito umeibuka mtandaoni kufuatia Mwekezaji na Rais wa heshima Klabu ya Simba Mo Dewji kukomenti kwenye Moja ya Post katika Ukurasa wa Instagram wa Klabu hiyo, akiandika "Transformation mmefikia wapi?“, akionesha kuuliza ulipofikia mchakato wa mabadiliko.

Wadau wengi wa michezo wameelezea kitendo hicho kama kutokuwa na maelewano katika uongozi, kwani jambo hilo tajiri angeweza kuliulizia katika vikao vya ndani tofauti na jukwaa alilolitumia, huku wengine wakihoji je ni kweli Mo hajui mchakato umefikia wapi?.

Simple blog post Instagram Post_20260210_203022_0000.png
 
Back
Top Bottom