Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
He is an opportunity seekerI will be short.
rules after wealth
1. Utajiri bila watu ni useless. (power)
Mo leo hii anakutana na raisi wa FIFA na CAF easily kisa simba,
Easy business due to simba.
Anafatiliwa in social media due to Simba
People look for him because of Simba
He is safe on streets because of Simba.
Rostam ana pesa ila kama kijini tu mtaani, life aipo fair kabisa.
AAny way
Mo is simba
He can't leave simba sc or else he will lose his aura.
His legacy of afterlife is in simba fans.
I am glad he respects that.
Na akaitumia njaa ya mikia vizuri......He is an opportunity seeker
Kwa hiyo Gharib wa GSM na Bakhresa kwa kuwa hawafuatiliwi katika social media (na pengine hawana hata account), ndio tuseme utajiri wao ni useless?Utajiri bila watu ni useless. (power)
Anafatiliwa in social media due to Simba
bongo hivyo vyote avitusaidii sisi.Naona pia alipewa cheo na Ramaphosa South kisa Simba.
He's a Forbes billionaire na hilo tu linatosha kumfanya akutane na top elites duniani.
acha wivu, fanya kazi ulishe familia yako walau mboga mboga. Mtu mwenye utajiri wa Tsh. Trilioni 4 achukue nini kilichopo Simba?Na akaitumia njaa ya mikia vizuri......
Kwani lazima usaidiwe na Mo? Si upite mtaani na bakuli?bongo hivyo vyote avitusaidii sisi.
ache simba aone heshima yake ilipo
una utani ww, GSM yupo Midomoni kisa yanga. azam the same hizi team zinampa time, bongo kuwa na hela amna mtu a nakupa respect kama ashibi kwakoKwa hiyo Gharib wa GSM na Bakhresa kwa kuwa hawafuatiliwi katika social media (na pengine hawana hata account), ndio tuseme utajiri wao ni useless?
Labda kama umewajua juzi. Unaifahamu au walau umewahi kuisikia Home Shopping Centre?una utani ww, GSM yupo Midomo I kisa yanga. azam the same hizi team zinampa time, bongo kuwa na hela amna mtu a nakupa respect kama ashibi kwako
mzee kumjua tajiri, then???Labda kama umewajua juzi. Unaifahamu au walau umewahi kuisikia Home Shopping Centre?
Hajanisaidia, na silalamiki maana sio wajibu wake, labda iwe hisani tu. Shida ipo kwako unayelalamika kuwa hasaidii na utajiri wake ni useless. Yaani asubuhi asubuhi umeshafungua uzi kulalamikia wanaume, halafu unataka usaidiwe! Fanya kaziwewe imekusaidia nini hii?? possibly umejua since ww unamfatilia via simba.
huyu jamaa hana lolote bongo hapa bila simba. hata akifa atazikwa na wana simba. akiacha simba atazikwa amna mtu atajua
na wewe ukiacha Simba/Yanga? 🤣 🤣 🤣Kwamba?? mo akiacha simba ni tajiri fala kama wengine wengi
Na unakuta asubuhi yote hii kakuta dukani hamna energy tofauti na mo energy ndo maana kammind.Hajanisaidia, na silalamiki maana sio wajibu wake, labda iwe hisani tu. Shida ipo kwako unayelalamika kuwa hasaidii na utajiri wake ni useless. Yaani asubuhi asubuhi umeshafungua uzi kulalamikia wanaume, halafu unataka usaidiwe! Fanya kazi
Kwa scenario ya mada GSM hafanani na Bakhresa, GSM sawa na MO na anafuatiliwa alichokosa ni Account ya social media tu.Kwa hiyo Gharib wa GSM na Bakhresa kwa kuwa hawafuatiliwi katika social media (na pengine hawana hata account), ndio tuseme utajiri wao ni useless?
Yes, GSM ndio hana haki ya kuongea kabisa 90% ya watanzania wamemju GSM baada ya kuingia kwenye mpila hapo before tulikuwa tunamjua wachache sana na sio kwa ukubwa. Mimi ilikuwa ukinitaji GSM akili intend kwenye GSM MALL ya PUGU ROAD ILE ila kwasasa ukinitajia GSM it sound different.una utani ww, GSM yupo Midomoni kisa yanga. azam the same hizi team zinampa time, bongo kuwa na hela amna mtu a nakupa respect kama ashibi kwako
Unakubaliana na mleta mada kuwa mo yuko simba kwa ajili ya umaarufu?Kwa scenario ya mada GSM hafanani na Bakhresa, GSM sawa na MO na anafuatiliwa alichokosa ni Account ya social media tu.
Bakhresa Ana ushwishi kama MO, pia utakumbuka miaka ya nyuma kidogo watu wengi hawakumjua kabisa GSM ila baada ya yanga amekuwa na ushawishi kuzidi Bakhresa