Mo akiacha Simba, he is just a rich guy with nothing

wewe imekusaidia nini hii?? possibly umejua since ww unamfatilia via simba.

huyu jamaa hana lolote bongo hapa bila simba. hata akifa atazikwa na wana simba. akiacha simba atazikwa amna mtu atajua
Akiacha Simba leo au GSM akiacha yanga haiwezi kuwa sawa na kwabla wajajiingiza kwenye football, so hata wakiachana na football leo bado legacy ya football watabakinayo hadi uzee au kifo talking umaarufu nk.
 
Kichwa kilichobakia Simba ni Mangungu tu!

Hii klabu inaendeshwa kiuni, yaani anajiteua na kujitangaza kama mwenyrkiti wa bodi akiwa CHUMBANI KWAKE!

Aibu sana hii kwa Simba.
 
Jamaa kaandika utoto sana.Sema ndo hivyo wabongo wakishamiliki simu na bando full kupost mashudu.
 
una utani ww, GSM yupo Midomoni kisa yanga. azam the same hizi team zinampa time, bongo kuwa na hela amna mtu a nakupa respect kama ashibi kwako
Midomoni kwa wabongo kuna saidia nini?.Pesa zake ndio zinazomfanya azungumzwe.Ukiwa na pesa utazungumzwa na kupata heshima popote sio hadi umiliki timu.Wakina rostam hawana timu ila watu wengi wanamfahamu nakumheshimu.Hizo timu za waswaliki ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.
 
.
Wabongo tupunguze mihemko. Watu wanamjua GSM tangu enzi za Home Shopping Center, tangu enzi anadhamini Majimaji ya Songea, labda huko kwenu ndio mmemjua kupitia Yanga.
Halafu kusema GSM ana ushawishi kupita Bakhresa unahitaji kujitoa akili kwanza.
 
Katika watanzania 60 Million wangapi walikuwa wanamkujua before na kwasasa baada ya kujiingiza kwenye football kati ya watanzania 60 Million wangapi wanamjua....Hivi huna munafikiri kwa ubongo au kuna kitu tofauti munatumia kufikiri.
 
.
Wabongo tupunguze mihemko. Watu wanamjua GSM tangu enzi za Home Shopping Center, tangu enzi anadhamini Majimaji ya Songea, labda huko kwenu ndio mmemjua kupitia Yanga.
Halafu kusema GSM ana ushawishi kupita Bakhresa unahitaji kujitoa akili kwanza.
Hakuna mtu asiyejulikana hata wewe wanakujua mtaani kwenu. Mo, gsm, manji, bakhresa wapo kwenye vichwa vya wabongo kuliko matajiri wengine kama Ally awadh, kanabal, patel au yogesh na moja ya sababu ni hiyo hapo juu.

Fida ni mkongwe kwenye biashara hapa bongo na ana hela kuliko hata GSM, lakini leo hii wabongo WANAOMJUA Fida ni wachache na wabongo WASIOMJUA gsm ni wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…