Mo akiacha Simba, he is just a rich guy with nothing

Ibrahimovic tumemjua baada ya kuwepo Chelsea pale.

Kwa hiyo siyo hoja. Hizo ni vehicles, alishakuwa ccm akawa maarufu hata kabla hajaingia Simba.
Simba nayo inamchango wake pia, lakni huwezi kusema is nothing sijui ninini.
 
Ibrahimovic tumemjua baada ya kuwepo Chelsea pale.

Kwa hiyo siyo hoja. Hizo ni vehicles, alishakuwa ccm akawa maarufu hata kabla hajaingia Simba.
Simba nayo inamchango wake pia, lakni huwezi kusema is nothing sijui ninini.
he is nothing. vitu vyote vya mo nimejua alivyo kuwa simba
 
bongo kuna watu wana pesa chafu awajulikani. wanatukanwa tu.

mimi na historia ya kupiga tajiri mchana tu kisa simjui kaingia site. piga mbwa. kesho ndo najua ni tajiri kaja na polisi mimi sipo. pesa zako bila fame ni fala tu kama wengine.
 
Kichwa kilichobakia Simba ni Mangungu tu!

Hii klabu inaendeshwa kiuni, yaani anajiteua na kujitangaza kama mwenyrkiti wa bodi akiwa CHUMBANI KWAKE!

Aibu sana hii kwa Simba.
tena anateua tena, via Instagram πŸ˜‚. bila hata barua.

tajiri anazingua
 
Maskini huwa tuna mawazo kweli! Mbona Mzee Hamis Kilomoni hakuwa tajiri kisa Simba? Mbona hakuwa aliongea na viongozi wa CAF na FIFA kisa Simba? Maskini wenzangu tuchape kazi!!!
 
Ungeangalia source ya utajiri wake ni IPI Kama ni simba hapo I agree with you Ila Kama sio Simba the guy ,he can't go broke and he can leave simba sc easily

Ukitaka kujua mafanikio ya MTU yamebebwa na nini tazama chanzo chake kwanza that is way huwezi kumuangusha MTU Kama MO maana Kiroho ,kiakili, kiufahamu kote yupo vzr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…