Mo akipewa DOGE ya bongo kama Elon anaweza kuleta mabadiliko serikalini?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Mo amefanikiwa sana kibiashara na ndio $bilionea wetu hapa bongo anayetambulika rasmi, akipewa kitengo cha DOGE kuleta ufanisi serikalini anaweza kuleta mabadiliko makubwa? Tukumbuke pia Wahindi ni wataalamu sana katika kudhibiti matumizi.
 
Anaweza sema ni mpgaji sana pia atarogwa na wabongo kama mwendazake walichomfanya 🚶🚶
 
Mo amefanikiwa sana kibiashara na ndio $bilionea wetu hapa bongo anayetambulika rasmi, akipewa kitengo cha DOGE kuleta ufanisi serikalini anaweza kuleta mabadiliko makubwa? Tukumbuke pia Wahindi ni wataalamu sana katika kudhibiti matumizi.
Nafasi ya DOGE ndo kitengo gani hapa kwetu kwa kiswahili
 
MO bado ana njaa sana na tamaa,Atafanya janja janja yakuendelea kujitajirisha yeye kwanza.
 
Back
Top Bottom