Nafasi ya DOGE ndo kitengo gani hapa kwetu kwa kiswahiliMo amefanikiwa sana kibiashara na ndio $bilionea wetu hapa bongo anayetambulika rasmi, akipewa kitengo cha DOGE kuleta ufanisi serikalini anaweza kuleta mabadiliko makubwa? Tukumbuke pia Wahindi ni wataalamu sana katika kudhibiti matumizi.
Mpigaji sana?Amekwiba nini kwa ushahidi?Anamzidi Madelu?Anaweza sema ni mpgaji sana pia atarogwa na wabongo kama mwendazake walichomfanya 🚶🚶
Kwani huyu Musk ni mtawala au mfanyabiashara mbona hicho kitengo hakina uhusiano na ufanya biashara.Labda utumishi wa umma na utawala bora.
Huyaoni mabadiliko Simba?