johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wazee wa chupli chupliKwani ile 20 billions inasemaje? Au iliota mbawa?
Hahahaaaa..... Hawa watu siyo wa kuwaamini kabisa!Azim Dewji na Mohammed Dewji aka Mwamedi. Azim akawaahidi wachezaji wa Simba kuwa wakichukua Ubingwa wa kombe la CAF atawapa Chai Maharage kila mchezaji na benchi zima la ufundi. Kumbe huku gizani alishauza match kwa Stella Abidjan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo chai maharage ni zile canter zinazobeba abiria au chai na mandondo?Azim Dewji na Mohammed Dewji aka Mwamedi. Azim akawaahidi wachezaji wa Simba kuwa wakichukua Ubingwa wa kombe la CAF atawapa Chai Maharage kila mchezaji na benchi zima la ufundi. Kumbe huku gizani alishauza match kwa Stella Abidjan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Kigwangalla ana maelezo mazuri bwashee!Kwani ile 20 billions inasemaje? Au iliota mbawa?
KEA!Mkuu hapo chai maharage ni zile canter zinazobeba abiria au chai na mandondo?
Amefungwa Simba, anayehangaika ni utopolo[emoji44][emoji44]! Hii utaikuta Bongo tu!Hawa wafadhili wa timu wako kibiashara zaidi so wanaangalia mambo mengi lakini lililo kuu ni faida.
Wakati huu wa Covid-19 soka linaingiza hasara na mwekezaji hayuko kwa ajili ya SIFA bali yeye anaangalia FAIDA.
Niishie hapo!
Mbinu zile zile.Kwani Azim na Mo si mtu na uncle wake? Dugu moja
Zile Canter za abiria tena wakati huo ndio zilikuwa moto balaa kabla ya ujio wa DCM.Mkuu hapo chai maharage ni zile canter zinazobeba abiria au chai na mandondo?
Gullamali alilia pale Uganda baada ya Yanga kukaza na kuifunga SC Villa wakatwaa kombe la cecafa.Wahindi aka Makanjibai wa kweli waliotoa hela zao mfukoni kwa nia ya kufadhili bila majungu,vijembe,manyanyaso wala majigambo ni wawili tuu, Marehemu Abbas Gulamali na Yusuph Manji tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatamsahau LunyamilaGullamali alilia pale Uganda baada ya Yanga kukaza na kuifunga SC Villa wakatwaa kombe la cecafa.
Na hapo alikuwa kaahidi TV tu kwa kila mchezaji..........hahahaaaa!
Yule tapeli hawezi kutoa hiyo pesaKwani ile 20 billions inasemaje? Au iliota mbawa?
Hazijulikani ziko kwenye Akaunti ipiYule tapeli hawezi kutoa hiyo pesa
Acha uongo,mimi nilikuwa nae gulamali kwenye huo mchezo,huyo jamaa alikuwa ni mtu mwingine kabisa na kila alichoahidi alitimiza na zaidi ya hapo huo mchezo alihonga dola elfu kumi iki tushinde hiyo mechiGullamali alilia pale Uganda baada ya Yanga kukaza na kuifunga SC Villa wakatwaa kombe la cecafa.
Na hapo alikuwa kaahidi TV tu kwa kila mchezaji..........hahahaaaa!