Usishangae Wabongo wengi ni wajuaji Sana kila kitu wanajua waoAcha uongo,mimi nilikuwa nae gulamali kwenye huo mchezo,huyo jamaa alikuwa ni mtu mwingine kabisa na kila alichoahidi alitimiza na zaidi ya hapo huo mchezo alihonga dola elfu kumi iki tushinde hiyo mechi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Acha ujinga, kujifanya mjuwaji wakati hujui kitu.Acha uongo,mimi nilikuwa nae gulamali kwenye huo mchezo,huyo jamaa alikuwa ni mtu mwingine kabisa na kila alichoahidi alitimiza na zaidi ya hapo huo mchezo alihonga dola elfu kumi iki tushinde hiyo mechi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Huyo anawafunga kamba tu si mkweli. Kwanza huyo Gulamali ndio mtu alihujumu Yanga ishindwe kwenda South Africa kucheza klabu bingwa na Vaal professional ya South Africa kwa kujitowa ghafla kuifadhili Yanga.Usishangae Wabongo wengi ni wajuaji Sana kila kitu wanajua wao
Bwasheheee kumbe hata soka umo Mimi nilijua ni mfuasi wa nzi wa kijani pekeeGullamali alilia pale Uganda baada ya Yanga kukaza na kuifunga SC Villa wakatwaa kombe la cecafa.
Na hapo alikuwa kaahidi TV tu kwa kila mchezaji..........hahahaaaa!
Hahahaaaaaa
Alilia sana!Acha uongo,mimi nilikuwa nae gulamali kwenye huo mchezo,huyo jamaa alikuwa ni mtu mwingine kabisa na kila alichoahidi alitimiza na zaidi ya hapo huo mchezo alihonga dola elfu kumi iki tushinde hiyo mechi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kwani Haji Manara alikuwa haumii?Katika wahindi hawa wooote, mo dewji ndiye muwekezaji ila pia shabiki kindakindaki wa hiyo timu...
Kwenye maamuzi yake na kauli zake anashindwa weka mpaka kati ya muwekezaji na shabiki sasa anaishia kuongea kwa hasira kama shabiki wa kawaida...
Wale wengine ni wawekezaji ila hawana ushabiki kama wa dewji kwa timu yake....hawaumii kivile inapokuja matokeo mabaya....
Hahahaaaa....... Mtu kalia uwanjani ujuaji unatoka wapi hapo?Usishangae Wabongo wengi ni wajuaji Sana kila kitu wanajua wao
Hahahaaaa....... Bwashee sisi tuna watu!Bwasheheee kumbe hata soka umo Mimi nilijua ni mfuasi wa nzi wa kijani pekee
Hahahaaaaa nimekuelewa BwasheeeeHahahaaaa....... Bwashee sisi tuna watu!
Sasa ulidhani Kuna BEPARI anatoa au kuwekeza hella yake mahali ambapo hamna Super profit..Hawa wafadhili wa timu wako kibiashara zaidi so wanaangalia mambo mengi lakini lililo kuu ni faida.
Wakati huu wa Covid-19 soka linaingiza hasara na mwekezaji hayuko kwa ajili ya SIFA bali yeye anaangalia FAIDA.
Niishie hapo!
Biashara nao nasikia wamevuta mpunga wa Waarabu wa Tripoli ili wasitokee uwanjani..Hahahaaaa..... Hawa watu siyo wa kuwaamini kabisa!
Happi mjanja mjanja sana!Biashara nao nasikia wamevuta mpunga wa Waarabu wa Tripoli ili wasitokee uwanjani..
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
nashauri serikali ianze kutumia mbinu za kimedani kudhibiti wahindi kujiingiza katika soka la tanzania.Mbinu zile zile.
Zamani:
Azim Dewji............................Simba
Abbas Gullamali.....................Yanga
Murtaza Dewji..........................Pan African
Saijudin Adamjee.......................Red Star
Patel Kaka...................................Tukuyu Stars
Shaffi Bora.....................................Majimaji
Kuna soka hapo bwashee au kamali?