Mo amenikumbusha Azim Dewji Simba vs Stella Abidjan!

Mo amenikumbusha Azim Dewji Simba vs Stella Abidjan!

Acha uongo,mimi nilikuwa nae gulamali kwenye huo mchezo,huyo jamaa alikuwa ni mtu mwingine kabisa na kila alichoahidi alitimiza na zaidi ya hapo huo mchezo alihonga dola elfu kumi iki tushinde hiyo mechi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Usishangae Wabongo wengi ni wajuaji Sana kila kitu wanajua wao
 
Acha ujinga, kujifanya mjuwaji wakati hujui kitu.

Zile tv alitowa kwa mbinde tena mpaka akaomba msamaha wa kuingiza kontena la tv bila ushuru, akapewa msamaha akaingiza kontena 10 bila ushuru.

Hapo kumbuka Gulamali alikuwa akimuita Mwinyi shemeji na ukienda ofisini kwake unakuta picha ukutani kapiga na Mwinyi.😄😄
 
Usishangae Wabongo wengi ni wajuaji Sana kila kitu wanajua wao
Huyo anawafunga kamba tu si mkweli. Kwanza huyo Gulamali ndio mtu alihujumu Yanga ishindwe kwenda South Africa kucheza klabu bingwa na Vaal professional ya South Africa kwa kujitowa ghafla kuifadhili Yanga.

Ndipo George Mpondela akamfuata marehemu Billionaire Reginald Mengi kuomba msaada na Mengi akatowa ticket 30 za ndege na posho Yanga iende South kucheza mechi ile.

Na hapo ndipo Mengi aliwashauri Yanga ijiendeshe katika mfumo wa kampuni badala ya kutegemea wahindi, kumbe maskini Mengi hakujuwa kama Yanga na Simba mmiliki wake ni mmoja na huwezi kuzibadili mfumo wake.
 
Katika wahindi hawa wooote, mo dewji ndiye muwekezaji ila pia shabiki kindakindaki wa hiyo timu...
Kwenye maamuzi yake na kauli zake anashindwa weka mpaka kati ya muwekezaji na shabiki sasa anaishia kuongea kwa hasira kama shabiki wa kawaida...
Wale wengine ni wawekezaji ila hawana ushabiki kama wa dewji kwa timu yake....hawaumii kivile inapokuja matokeo mabaya....
 
Kwani Haji Manara alikuwa haumii?

Leo yuko wapi?
 
Usishangae Wabongo wengi ni wajuaji Sana kila kitu wanajua wao
Hahahaaaa....... Mtu kalia uwanjani ujuaji unatoka wapi hapo?

Walioifadhili Yanga kwa moyo ni Rutainulwa na Kifukwe full stop!

Labda tuzungumzie na enzi za Tabu Mangala kabla hajaunda Pan Africans!
 
Hawa wafadhili wa timu wako kibiashara zaidi so wanaangalia mambo mengi lakini lililo kuu ni faida.

Wakati huu wa Covid-19 soka linaingiza hasara na mwekezaji hayuko kwa ajili ya SIFA bali yeye anaangalia FAIDA.

Niishie hapo!
Sasa ulidhani Kuna BEPARI anatoa au kuwekeza hella yake mahali ambapo hamna Super profit..

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mbinu zile zile.

Zamani:

Azim Dewji............................Simba

Abbas Gullamali.....................Yanga

Murtaza Dewji..........................Pan African

Saijudin Adamjee.......................Red Star

Patel Kaka...................................Tukuyu Stars

Shaffi Bora.....................................Majimaji

Kuna soka hapo bwashee au kamali?
nashauri serikali ianze kutumia mbinu za kimedani kudhibiti wahindi kujiingiza katika soka la tanzania.

hawa watu sio kabisa.
 
Back
Top Bottom