Mo anajenga klabu, Manji anatafuta sifa na manufaa

Nini kukodishwa huko ng'ambo team zinauzwa na kumilikiwa na mtu binafsi kwa kipindi flani den anauza tena lakini ndizo team tunazozipenda na kuzishabikia Ila apa kwetu tunapinga kwakweli wa TZ bado sana katika fikra chanya.
mkuu kama hujui jambo ni bora ukae kimya kuliko kuonyesha u-kil.aza wako hadharani. ulaya kuna timu zinakodishwa kama mashamba ya kulima? poor you!
 
Nikikuliza ww uniambie ata kifungu kimoja cha mkataba wanao ingia Manji na Yanga ni wazi wewe hujui na ndio maana unaishia kubwabwaja humu kwasababu umeshazoea kukodisha vyumba basi mkisikia neno hilo mnajua ni ile ile mikataba yenu ya ovyo.... Tz hizi team nyingi ni poor n very poor na chanzo ni watu kma nyie maneno mengi hewa
 
nini kukodisha hata kuuza iuzwe ili mradi anihakikishie ushindi nifurahi na roho yangu
 
Mo hajengi club. Anataka kununua kama bidhaa nyingine yoyote iwe mali yake. Angetaka kujenga yangetokea kwa Mbagala Market/African Lyon au Singida United. Mchakato aliopitia Bakhresa wakati wa kuanzisha Azam hautaki. Ni gharama kubwa na hana uhakika kama atakuja kupata faida wakati wa kuja kuuza.

Akitokea tajiri mwingine ndani miezi sita au mwaka ataiuza bila ajizi na zile billion 20 alizonunua hatifungani za serikali bado ni mali yake.

Yanga na Simba ni kama mashamba tu. Mmoja analiuza na mwingine anakodisha. Muda utatuambia nani mwenye akili zaidi.
 
Kumekuwepo na mitizamo tofauti kuhusu matajiri Mo na Manji kujiingiza katika masuala ya soka. Tangu zamani Mo amekuwa akiisaidia Simba kwa hali na mali kwa manufaa na maendeleo ya klabu. Mo ameazimia kununua 51% ya hisa za klabu ya Simba kwa thamani ya Tsh bilioni 20. Aidha, nguli huyo wa kibiashara amemwaga noti zenye thamani ya Tsh 100 milioni ndani ya klabu ya Simba kwa ajili ya kusaidia usajili wa wachezaji vitasa. Hii yote ni kwa ajili ya manufaa na maendeleo ya klabu ya Simba SC.

Baada ya Manji kumsikia Mo alivyoazimia kuisuka Simba, roho ikamuuma. Eti sasa anataka kuikodi klabu ya Yanga kwa muda wa miaka 10 ili aitumie nafasi hiyo kupiga hela kwa manufaa yake binafsi kwa mgongo wa “ufadhili”. Anaona unyonyaji alioinyonya Yanga bado haujatosha, sasa ameamua kabisa kukodi klabu ili apige fedha vizuri.

Kwa lugha nyingine unaweza kusema kwamba Manji ni opportunist. Anatumia trick ya kupambana na Mo kwenye soka la watani wa jadi kwa manufaa yake binafi na familia yake. Eti mtu anakodi klabu kwa miaka 10 na wanachama wanamkubalia! Ama kweli hizi njaa za wanachama wa Yanga ni shida.

Manji amekuwa akiifaidi Yanga kisiasa kwa muda usiopungua miaka 20! Baada ya kuangushwa kwenye kura za maoni ndani ya chama chake (CCM) katika uchaguzi wa mwaka 2000 kwa sababu ya kugawa rushwa kwa wajumbe, Manji aliamua kununua uenyekiti wa Yanga ili ajijenge kisiasa. Umaarufu wake wa kisiasa ulishuka sana tangu alipojihusisha katika ugawaji wa rushwa katika kura za maoni, Jimbo la Temeke. Alipoingia uongozini ndani ya klabu ya Yanga, umarufu wake umepanda hadi ameshinda udiwani wa Kata ya Mbagala. Kuibuka kwake kuikodi klabu ya Yanga ni ushahidi tosha kwamba sasa anausaka ubunge katika uchaguzi mkuu ujao. Jamani tuwe makini sana na huyu K@njib@i…hana nia njema hata kidogo.
Acha ujuha mkuu ,wote hao ni opportunists ,ni wafanyabiashara hao .
Ni makanjibai wote wawili.
Wasaka faida wote hao ambao wameona possibility of seizing money via football.
Kwangu mm ,Manji ana afadhali mara 100 kuliko MO,unajua kwa nn....??? subiri nikuambie:-
1.Manji ametumia zaidi ya bilioni 2 kwa msimu ulioisha pekee kama msaada wake kwa klabu ya yanga,mafanikio iliyoyapata tangu kuchukua ligi kuu bara mpaka kufika robo fainali kombe la shirikisho yana mchango mkubwa wa Manji.Nikuulize Mo amefanya nn kuisaidia Simba mpaka leo...!!??
2.Huyu Mo si ndiye aliyekuwa mdhamini mkuu wa African Lyon .....???? ,ilikuwaje aibwage badala yake aikimbilie simba...??? lakini manji hajawahi anzisha timu ikamshinda halafu ndio ahamie yanga.
3.Manji anakodi yanga,hata kama inaonekana kituko lakini mkataba ukishaisha wanachama wanaweza amua watakavyo na waonavyo wao inawafaa,lakini nyinyi simba mmeuza timu kwa kanjibai,yaani ile mazima kwa zaidi ya nusu ya hisa zote.sasa sijui unajua maana ya kuuza,yaani unamcheka mwenzako aliyekodisha nyumba yake ilihali ww yako umeiuza,si maajabu haya.....???
Kwangu mm,Mo ni opportunist kuliko manji,ninavyomuona huwa anafuata nyayo za bakhresa kila afanyalo naye huiga ,ila kwa hili la soka,ameshindwa kabisa ,maana ilikuwa Azam fc vs African lyon,wajua wapi ilipo azam na wapi ilipo african lyon.
 
mkuu, mtu kununua hisa 51% ndio amekuwa mmiliki wa timu? du, ama kweli hizi hesabu zako ni balaa. Mo ameingia Simba baada ya kustaafu siasa lakini Manji alikuja yanga baada ya kupoteza nafasi ya kugombea ubunge. sasa ametumia yanga kujijenga hadi amepata UDIWANI. baada ya kupata udiwani sasa anataka aikodi ili mwaka ujao agombee na ashinde UBUNGE. sasa niambie kati ya manji na Mo nani anatumia timu kujijenga kisiasa na kibiashara. kumbuka MO ni tajiri No 1 Afrika Mahariki na Kati, so haihitaji simba kujijenga kibiashara. manji bado ni tajiri uchwara, so anaitumia yanga kujijenga kibiashara na kisiasa. umeelewa?
 
Nadhani umeona tofauti baina ya hoja zangu na porojo zako,
Unajifanya eti 51% ....!!!??? Kama hujui kinachomaanishwa.
Labda nikupe hints nyingine za ubaya na uzuri wa kuuza hisa kwa watu,Arsenal football club na arsenal Wenger,unajua nn kinatokea pale...!!???
 
Manji anaifaidi sana yanga kuliko yanga inavyomfaidi...ni sawa na KIROBOTO anavyofaidi kunyonya damu ya mnyama.
Sisi Yanga tunahitaji ushindi tu, hela za kula tayari tunazo. Hatuhitaji kushibisha matumbo yetu kupitia Young Africans SC, tunachohitaji ni kuburudisha bongo zetu kwa kuwafunga watani kuchukua ubingwa na kuingia kwenye mashindano ya kimataifa.

Acha Manji afaidi kiuchumi sisi atuletee furaha tu finitoooooooooooooo!
 
mkuu, mtu kununua hisa 51% ndio amekuwa mmiliki wa timu? du, ama kweli hizi hesabu zako ni balaa. Mo ameingia Simba baada ya kustaafu siasa lakini Manji alikuja yanga baada ya kupoteza nafasi ya kugombea ubunge. sasa ametumia yanga kujijenga hadi amepata UDIWANI. baada ya kupata udiwani sasa anataka aikodi ili mwaka ujao agombee na ashinde UBUNGE. sasa niambie kati ya manji na Mo nani anatumia timu kujijenga kisiasa na kibiashara. kumbuka MO ni tajiri No 1 Afrika Mahariki na Kati, so haihitaji simba kujijenga kibiashara. manji bado ni tajiri uchwara, so anaitumia yanga kujijenga kibiashara na kisiasa. umeelewa?
Ni kweli MO ni tajiri ndiyo lakini bahiri. Tajiri No.1 EA hawezi kutoa eti 100m/= kuwezesha usajili wakati Manji mwenye moyo wa kutoa anaruhusu watu waingie bure hata uwanjani ambapo mapato zaidi ya 600m/= yangeweza kupatikana. Manji anasajili mchezaji mmoja tu kwa Zaidi ya 200m/= wakati huyo MO anatoa hiyo 100m/= kwa wachezaji wote watakaosajiliwa.

Manji ni shujaa wetu. Go go go Manjiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!
 
Ubishi uko wapi mkuu.. weka DATA kuwa nchi fulani na timu fulani ilikodishwa ili tufunge ukurasa
Ndio amekwambia hata Muungano wa Tanzania ni wa pekeee duniani uliigwa kutoka wapi!!!??? Kwa nini kila kitu uige kutoka kwa hao wazungu wenu!!??? Igeni nyie side tumekodisha povu la nini likutoke tunakodisha timu yetu wewe unaneng'eneka nini
 
Nadhani umeona tofauti baina ya hoja zangu na porojo zako,
Unajifanya eti 51% ....!!!??? Kama hujui kinachomaanishwa.
Labda nikupe hints nyingine za ubaya na uzuri wa kuuza hisa kwa watu,Arsenal football club na arsenal Wenger,unajua nn kinatokea pale...!!???
Kwa taarifa yake fupi:

51% inamaanisha majority share na 49% minority share. Kwa sheria za Makampuni mwenye share nyingi ndiye mweye KAULI YA MWISHO ya mwisho katika MAAMUZI, wengine wote lazima mkae kimya wakati Jogoo anawika.
 
Wewe mkuu acha MANENO MBOFUMBOFU. Manji ni CCM....sio Yanga....yupo pale yanga kimaslahi zaidi.
Mo Dewji sijui ni CUF , Kapuya nae ni Chadema ..... We jamaa kichwa boga akili ulezi..... Haufikiriii kabisa unaleta siasa kwenye michezo .... Maaandazi yaliyokosa hamira wewe
 
Mkuu kama huwezi kuunganisha dots ni vigumu kuelewa mada hii. Dewji kastaafu siasa lakini Manji bado anatumia soka kujijenga kisiasa. Wewe hujui hilo?
 
Mjomba turudi tu mtaa wetu ule .... Huku ni bure tu.... Unaweza kustaafu siasa afu bado mwanachama wa chama cha siasa!!??? ..... Ameacha tu kugombea ubunge ... Na wakati anaaga nilikuwepo ..... Alisema tu aliyofanya singida yanatosha anapisha wengine wajaribub.....hajaacha siasa mkuu.... Pole sana kama hukulitambua hilo.....
 
Mo na Manji ndio wale wale, lao moja, kudandia migongo ya njaa za wanachama wa klabu zote mbili, watengeneze mabilioni waachane nao, vijizee vya klabu vitaishia kwenda kwenye matunguli kwa kuwa haviwezi tena kujinasua kwenye mikataba ile! Watatoana macho katika kipindi kifupi kijacho!
 
Kwa taarifa yake fupi:

51% inamaanisha majority share na 49% minority share. Kwa sheria za Makampuni mwenye share nyingi ndiye mweye KAULI YA MWISHO ya mwisho katika MAAMUZI, wengine wote lazima mkae kimya wakati Jogoo anawika.
Anajifanya kipofu,yaani anamcheka aliyekodisha shamba lake ilihali yeye la kwake kauza,si muujiza huu...???
 
Back
Top Bottom