Acha ujuha mkuu ,wote hao ni opportunists ,ni wafanyabiashara hao .
Ni makanjibai wote wawili.
Wasaka faida wote hao ambao wameona possibility of seizing money via football.
Kwangu mm ,Manji ana afadhali mara 100 kuliko MO,unajua kwa nn....??? subiri nikuambie:-
1.Manji ametumia zaidi ya bilioni 2 kwa msimu ulioisha pekee kama msaada wake kwa klabu ya yanga,mafanikio iliyoyapata tangu kuchukua ligi kuu bara mpaka kufika robo fainali kombe la shirikisho yana mchango mkubwa wa Manji.Nikuulize Mo amefanya nn kuisaidia Simba mpaka leo...!!??
2.Huyu Mo si ndiye aliyekuwa mdhamini mkuu wa African Lyon .....???? ,ilikuwaje aibwage badala yake aikimbilie simba...??? lakini manji hajawahi anzisha timu ikamshinda halafu ndio ahamie yanga.
3.Manji anakodi yanga,hata kama inaonekana kituko lakini mkataba ukishaisha wanachama wanaweza amua watakavyo na waonavyo wao inawafaa,lakini nyinyi simba mmeuza timu kwa kanjibai,yaani ile mazima kwa zaidi ya nusu ya hisa zote.sasa sijui unajua maana ya kuuza,yaani unamcheka mwenzako aliyekodisha nyumba yake ilihali ww yako umeiuza,si maajabu haya.....???
Kwangu mm,Mo ni opportunist kuliko manji,ninavyomuona huwa anafuata nyayo za bakhresa kila afanyalo naye huiga ,ila kwa hili la soka,ameshindwa kabisa ,maana ilikuwa Azam fc vs African lyon,wajua wapi ilipo azam na wapi ilipo african lyon.