marlingo msakaa
Member
- Nov 19, 2016
- 41
- 31
JPM angepata uazim kidogo tu akaingilia Simba na Yanga ingekua vizuri sana.
Halipwi hata kumi akitaka aende mahakamani hakuna aliyemwomba kujipendekeza kwake tuu hukoMooo mooo mooo mooo
Haya mlipeni pesa yake
Na kaburuSimba kuna wapiga dili wawili pale Aveva na Hanspope
Viongozi wenye tamaa na wanaojali matumbo yao tuu !!ohoooo!!
lakin sports pesa watawalipia
tatizo simba wana hangaika sana, watulie na mdhamini mmoja
Viongozi waliopo sasa Simba wanaikwaza Club. wanaangalia maslahi yaoSimba kuna wapiga dili wawili pale Aveva na Hanspope
sasa hizo bilioni wata zitoa wap, mweer!!Viongozi wenye tamaa na wanaojali matumbo yao tuu !!
ohoooo!!
lakin sports pesa watawalipia
tatizo simba wana hangaika sana, watulie na mdhamini mmoja