Itakuwa kama nyie tembeza bakuliHawa walishindwa kulipa kodi ya nyasi 80M. Hii 1.4B itakuaje
wahindi bhn, naona sasa dili za sukari zimefeli kakomaa na simba😀😀😀
BreakingNews: MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4 BreakingNews: MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4 | ShaffihDauda
copy&paste kama ilivyo
Aisee itoe Yanga kwenye list yakoI wish I could be magufuli ningezifuta hizi yanga na simba kwenye ramani ya Tanzania ni upuuzi mtupu hata kuzishabikia
Bakuli linatembezwa kwa wamiliki wa timu,hii ya kwenu itakua kutembeza ka.lio [emoji1] [emoji1] [emoji1]Itakuwa kama nyie tembeza bakuli
Sio wahindi bana wala dili za sukari.wahindi bhn, naona sasa dili za sukari zimefeli kakomaa na simba😀😀😀
Mke wa mtu anapokosa staha na kukubali kutongozwatongozwa hovyo, haya sasa mume anadai mahari yakeMooo mooo mooo mooo
Haya mlipeni pesa yake
Wao hufikiri kila kitu kinaamuliwa na kamati ya saa 72Kisheria viongozi wa Simba wamefanya uhuni unaodhalilisha tasnia ya ndoto ya soka kuwa biashara,
Simba tayari ilikuwa na mkataba wa awali na Mo, hivyo isingeweza kuingia mkataba na mtu mwingine bila Mo kuridhia...
Mara Simba mara CCM, Punguza mbege mangi, hangover litakuuaSio wahindi bana wala dili za sukari.
Siku zote huwa nasema, SIMBA NI TIMU YA HOVYO, siku zote Simba ni timu ya kurupu kurupu bin kurupuka.
Simba hawa, hawa Simba Koko, wana mkataba na Mohammed Enterprises wa udhamini. Lakini management ya Simba kwa jinsi ilivyo hovyo hovyo, imeshajitoa fahamu na kukubali udhamini wa Sport Pesa. Huu sio umalaya?
Kwa tunaowajua Simba, migogoro ya kisheria ni sehemu ya maisha yao na mara nyingi huangukia pua.
Twite chali
Yondani chali
Ngasa chali na sasa ndio ugomvi na mume wao wa siku nyingi.
CCM ijifunze kwa Simba. Once ukitafuna rambi rambi mikosi haikuachi
Yaani uifute Yanga kwa umbumbumbu wa viongozi wa simba?I wish I could be magufuli ningezifuta hizi yanga na simba kwenye ramani ya Tanzania ni upuuzi mtupu hata kuzishabikia
Umemevurugwa wwngoja tusubiri tamko la zitto kabwe mbunge labda kutakua na ahueni kidogo😀
Hapa si mambo ya mapenzi na timu mkuu,sasa hivi tunazungumza kwa mikataba.Hajitambui huyu gabacholi. Aambiwe kiendacho kwa mganga huwa hakirudi. Kama yeye ana mapenzi makubwa na mnyama iweje tena adai pesa yake baada ya kutokea mdhamini mwingine wakati alitakiwa afurahie kwamba sasa kutakuwa na mtu wa kumsaidia kuidhamini timu.