MO anawapa watu njia za mafanikio

MO anawapa watu njia za mafanikio

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Mo anatoa ushauri wa kufanikiwa kwa watu, watu wanamwambia yeye pesa kazikuta bana asilete ushauri wake hizo njia zisingefanya chochote angezaliwa kwa kina sisi.

Hawa matajiri kama MO hivi wakiletwa mtaani huku ataweza kuhaso kweli aje apewe mtaji wa 10,000/= nahiyo 10,000/= akafaiti mwenyewe kusukuma kokoteni je hizi falsafa zitawasaidia kweli.
 
.
Screenshot_20191115-032929.jpeg
Screenshot_20191115-033158.jpeg
 
Maji hufuata mkondo arifu hapo kidogo unaweka jitihada tu ya kuidhibiti mali na kupanua mitaro izidi kuleta maji zaidi na zaidi, lakini kama wewe mchimbaji/mwanzilishi uje uulinde utiririshe maji vizuri pia mdhibiti wa hiyo Mali hakika utafika kwa mbinde sana pia huenda usifaidi matunda ya kazi ya mikono na akili yako.
 
Ila ukweli ni kuwa hata leo hii....ikitokea ghafla wote tupo maskin na tuanze kutafta upya

Baada ya mwaka matokeo ytakuwa n yale yale...!!matajiri watakuwa matajiri...maskin watakuwa maskini kama kawa

Umaskini huanzia kichwan
Ni suala LA maarifa na upeo tu...matajiri wengi wanafanya uwekezaji kwa uzoefu na maarifa kwa ujasiri yamkini ni kitu walichozoea lakini kwetu pakavu ni full kujaribujaribu no connection..no channel..no knowledge + figisufigisu,fitina,chuki na hadi kurogana kabisa hasa unapiga kijihatua kidogo tu lakini akili za kidosi ndo wanakupiga na kampani upae
 
Naona Fernandez nae ana angaika kweli na Nala yake... Itakuwa ni sadaka za wahumini kama sio pesa za kurithi.... Hahahahahahahaha
 
Naona Fernandez nae ana angaika kweli na Nala yake... Itakuwa ni sadaka za wahumini kama sio pesa za kurithi.... Hahahahahahahaha

Huyo jamaa anatakatisha, mi sijawahi kumwamini.... mchizi alikataa mshahara wa mabilioni huko kwa Bill Gates.
 
October man

Watu waliofanikiwa huwa wanawaona wenzao mambwiga sana,waliofanikiwa wanajifanya inspirations speaker sana,itikadi yangu kwamba siwaamini sana hawa na ushauri wao,matajiri wengi wamefanya figisu sana kupata mafaniko.

Sasa kama mshua alimpa zaidi ya bilioni 2 kama mtaji enzi hizo fursa kibao alitegemea angefeli? Yaani unapewa Bilioni 2 na baba halafu unajifanya ulihustle.
 
Mshahara wa mabilion ? Alikua anafanya kazi gani?

Ni graduate wa Harvard huyo, Microsoft na wenzake huko walitaka kumchukua akawapiga chini.... kwa uzalendo uliotukuka ili arudi kulitumikia Taifa lake.

Usiogope kuhusu mabilioni mkuu, ni dollar kadhaa tu hizo ambazo kwa huko ni wengi tu wanalipwa.... ila mchizi yeye katanguliza uzalendo mbele.

NB: Nilisikiliza akihojiwa na MillardAyo.
 
Back
Top Bottom