mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Nasisitiza tena umetudanganya.Ni graduate wa Harvard huyo, Microsoft na wenzake huko walitaka kumchukua akawapiga chini.... kwa uzalendo uliotukuka ili arudi kulitumikia Taifa lake.
Usiogope kuhusu mabilioni mkuu, ni dollar kadhaa tu hizo ambazo kwa huko ni wengi tu wanalipwa.... ila mchizi yeye katanguliza uzalendo mbele.
NB: Nilisikiliza akihojiwa na MillardAyo.
Mshahara wake ulikua ni around $220,000 per annual.