stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
stakehinh ni motuvation guru mi naona ngoja nikuache kwanza
alafu kingine, huezi pewa motivation na mtu ambae hata biashara hajui: lazima uwe kwenye biashara kabla hujatoa maneno yako kwa watu wengine: mm nafanya biashara maisha yangu yote ndan na nje ya nchi: so nachokwambia ni very legit,