October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Mawazo mgando hayo! Maskini anapewa mbinu anaona bora abaki palepale! Ndio maana matajiri ni wachache!
Ni suala LA maarifa na upeo tu...matajiri wengi wanafanya uwekezaji kwa uzoefu na maarifa kwa ujasiri yamkini ni kitu walichozoea lakini kwetu pakavu ni full kujaribujaribu no connection..no channel..no knowledge + figisufigisu,fitina,chuki na hadi kurogana kabisa hasa unapiga kijihatua kidogo tu lakini akili za kidosi ndo wanakupiga na kampani upaeIla ukweli ni kuwa hata leo hii....ikitokea ghafla wote tupo maskin na tuanze kutafta upya
Baada ya mwaka matokeo ytakuwa n yale yale...!!matajiri watakuwa matajiri...maskin watakuwa maskini kama kawa
Umaskini huanzia kichwan
Urithi ni suala moja lakini kuiendeleza Mali, kuidhibiti na kuipanua zaidi ilivyokuwa mwanzo ni jambo jingine aseee japo hutatumia nguvu sana lakini akili ya ziada lazima itumikeUmasikini Mbaya sana, hata kama kapewa za Urithi ila kitendo cha kuziendeleza basi huo ni ujasiri tiyari.
Naona Fernandez nae ana angaika kweli na Nala yake... Itakuwa ni sadaka za wahumini kama sio pesa za kurithi.... Hahahahahahahaha
Mshahara wa mabilion ? Alikua anafanya kazi gani?Huyo jamaa anatakatisha, mi sijawahi kumwamini.... mchizi alikataa mshahara wa mabilioni huko kwa Bill Gates.
Mshahara wa mabilion ? Alikua anafanya kazi gani?