MO anawapa watu njia za mafanikio

bilion mbili af mshua ana viwanda tayari wew ni kuinjekt tu hiyo capital.... Mzee ana viwanja kibao kat kaf ya mji na pori huko.... Af bado hawatumii cash zao wao ni kukopa tu sababu wana equity kubwa......

Hawa jamaa wazee wao walishawatengenezea system kubwa mno kwa wao kufeli katika one life
 
[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uzalendo sio..
 
Anaamini ndoto yake japo alikataa mshahara wa milioni 300+ kwa mwezi
Mkuu kwa ulaya huo ni mshahara mdogo,we fikiria mcheza mpira tu English premiere pesa kama hizo analipwa kwa wiki (sio kwa mwezi)
 
Anaamini ndoto yake japo alikataa mshahara wa milioni 300+ kwa mwezi
Umetia chumvi.
Milion 300 ni sawa Usd.130000. Kwa mshahara huo hata engineer wa Microsoft haupati kwa mwezi
 
Kwenye capitalism uzalendo uliopo ni PESA sio wa nchi. Usiwe unaamini kila kitu unachokisikia na kukiona bila kuhoji kuna watu watakuona mjinga
 
Kwenye capitalism uzalendo uliopo ni PESA sio wa nchi. Usiwe unaamini kila kitu unachokisikia na kukiona bila kuhoji kuna watu watakuona mjinga

Hapo nilikuwa najibu huyo mdau aliyeniuliza tu, na hata post yangu ya kwanza ni kwamba simwamini huyo jamaa.... nimeelezea nilivyoskiliza mahojiano yake na hakuna sehemu nimesema ‘namwamini’ ila hata hivyo kuonekana mjinga sio ishu sana.
 
Usimchukulie Mo for granted. Lazima u appreciate alikoitoa kampuni yao na alipoifikisha sasa. He has business mind.

Si wote wangeweza kufanya alichofanya yeye, ni wangapi ni watoto wa matajiri lakini hawawezi hata kuongoza biashara za wazee wao?

Mtu mwingine angekabidhiwa baishara aliyopewa MO...angeiua ndani ya mda mchache. Huenda hata wewe ungepewa fursa aliyokuwa nayo Mo wakati huo usingeifikisha METL ilipo leo.

Hizo bilioni 2 ambazo unasema alipewa, si wote wanaweza kuziwekeza zikaongezeka.
 
Wewe tatizo lako una poverty mindset, huamini km unaweza anza na moja ukafikisha mpaka mia.
 
Mkuu kwani METL inarun na mtu m1? Kwani hajaajiri Marketing Managers,Sales Manager,Co-operate Manager,Customer Experience Manager and the like? Hao ndio wanaomsaidia kazi,hata MO hasipokuwepo kampuni itaendelea,hata SSB Said Salim Bakhresa asipokuwepo SSB itaenda tu.
 
Wewe tatizo lako una poverty mindset, huamini km unaweza anza na moja ukafikisha mpaka mia.
Sawa mkuu hata Shamimu zeze alianza na mtaji wa efu 10 ila sasa ananyea debe kwa kuuza unga.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Mo kateleza tu toka kindergarten mpaka University hajagusa tope kashiba elimu ya biashara kaja kapewa biashara asimamie huku kashiba elimu vilivyo na team ya kutosha.. atafeli vipi, sasa watakwambia wivu kisa yule ndizi nyama.. Yani sawasawa yule demu wa Angola babaake alikuwa Raisi dos santos ..kapelekwa mbele akapigwe msasa kasoma kamaliza karudi kala 'shavu' mapema tu anapewa projects za maana ,ambaye ni Isabel dos santos sahivi billionea wa kike nadhani atakuwa namba 1 Africa angefeli vipi .....kawacheki watu wa kutu-inspire kama wakina Li Ka Shing,..wakina Jack Ma..E.shigongo..n.k...kwa wale tulioanzia chini ., Ila kumbuka ( No one has achived greatness by playing it safe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…