MO anawapa watu njia za mafanikio

Nasisitiza tena umetudanganya.

Mshahara wake ulikua ni around $220,000 per annual.
 
Anaamini ndoto yake japo alikataa mshahara wa milioni 300+ kwa mwezi
No ilikua $220,000 per year.

Yaani apewe salary ya $130,000 per month(tsh 300mil),yaani alipwe pesa mingi kuliko CEO wa Google?NEVER
 
No ilikua $220,000 per year.

Yaani apewe salary ya $130,000 per month(tsh 300mil),yaani alipwe pesa mingi kuliko CEO wa Google?NEVER
Kwani CEO wa Google analipwa ngapi?
 

 

wabongo bana: ingekua ivo sasa makampuni makubwa yasingekufa, biashara sio mtaji tu baba, afterall mtaji sio pesa: mtaji mkubwa ni wazo lako then ndo inafuata hela, wako wapo waliokua na mitaji mikubwa, unawakumbuka nakumat? alierithishwa mbna hajawa tajir?..... wabongo kazi tunayo
 
mmangO,

mfano mzuri ni hapa hapa JF, fuatilia historia ya max alivoanza mpaka jamii forum kufika valuation ya $3M, in other words you have a poor mindset, biashara haina formular, wangapi wamesoma nje ya nchi na wameshindwa kufanikisha: wakina mond mbna wameishia form 4, mbna nakumat ilikua kubwa dogo kapewa , miezi kadhaa tu zote zmefungwa: maisha hayana formular mzee
 
Kuna mambo hayahitaji ujuaji sana.... Angalia takwimu za wanaofanikiwa from scratch na wanaofeli baada ya kuruthishwa miradi mikubwa sio hizi biashra ndogo ndogo.... Af pia nshu sio idea... Idea zimejaa kibao mtaani swali ni execution ya hiyo idea inatendeka vp..... Take mfano wa hizi ukwaju icerolli mbona kina mama kibao tu wanauza icecream shule zaidi ya tatu na hawajaweza kuuza kwa scale ya bakresa
 

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mungu akusaidie tu ndo nnachoweza kusema, umeuliza swali na umeshajijibu: nakumbuka kipindi kabla sjaanza kufanya biashara maneno mengi nliskia sana, Ni Mungu alinipa tu moyo maaana watu hawaelewi nini kinahitajika katika biashara:

naomba uwe unasoma vitabu vingi sana vitakusaidia ufike mafanikio unayotaman
 


alafu kingine, ukiwa unafanya biashara hauangalii mwenzako amefanikiwa ama amefeli ndo ufanye, unatakiwa uwe unique kuanzia mawazo mpaka unachouza, nokia walianza kuuza simu wakafulia lakini haimaanishi simu zingine zisianzishwe kwa sababu nokia walifeli, kila mtu ana strategy na plan yake kutokana na Mungu atakavomsaidia: all in all Mungu akusaidie tu maaana una hali mbaya kimawazo
 
vitabu nshasoma vingi mno yani na hapa nilipo namaljzia memoir ya founder wa nike....
chances za wewe kutoboa ukiwa huna kitu kabisa ni ndogo mno kuliko chance za aliye na pesa kufilisika sijui kama unanielewa.....

usshasoma outliers cha malcom gladwell
 
Hapo nakuunga mkono mkuu naimani ushasoma outliers cha malcom kama bado kitafute
 
Kama kurithi ni rahisi, uliza kampuni za Mengi zinavyoelekea kibra.

Mengi fa*a tu naye, mpaka anakufa hakuwa ameweka mikakati ya nani atasimamia mali zile badala yake anamwachia yule slay queen kupitia majina ya watoto. Kwanini asingeweka misingi mizuri ya wanae wakubwa kusimamia zile mali badala yake anamoabidhisha mwanamke... K bhana inazuzuaga watu kweli.
 
Simon Adebisi,

kingine, you dont read any book as any book, unanyoosha struggles zako kutokana na nn Mungu amekupa: mfano kama unataka kufanikiwa kua mwanamziki mzuri, soma vitabu ambavyo vinahusiana na mwanamziki itakusaidia sana:

kumalizia point yako ya mwisho, ofcourse kufanikiwa ukiwa hauna kitu ni ngumu ndo maaana kuna sehem unaenda kupitch idea yako ya biashara na watu wanakumwagia pesa, tunarudi kule nyuma tena: idea idea idea, we nenda kapike chapati kisa bakhresa anauza chapati subiria mabilioni yako: namalizia tena Mungu akusaidie
 

hata kama wangepewa watoto,: kama watoto hawana ile mindset ni sawa sawa na kuchoma pesa: ni mara chache sana utakuta mzazi kamuachia mtoto mali zikafanikiwa haswa haswa mtanzania kama mtanzania, ni tafaut na wahindi kama wakina Mo au waarabu wale wa mafuta ambao pesa zinapita familia kwenda familia: nidham ya pesa ni muhimu sana: ni watanzania wachache sana wanayo hii nidham, ukitaka kujua kama una nidham ama hauna, fuatilia mwenendo wa matumizi yako ya pesa unayopata, anyway sipo hapa kuanza kutoa mahubiri,

mtu akitajirika, watanzania tuna namna nyingi za kuonyesha kwamba huyo mtu hana uwezo huo, ilimradi aonekane bado yupo level yao, mfano, aliloga, anatumia kizizi yaani Mungu atusaidie tu watanzania wachache wenye haya mawazo
 
stakehigh,
Nimegundua we jamaa ni motuvation speaker ngoja nikuache.... Maana najaribu kutengeneza mazingira tujadiliane wewe umebaki tuu Mungu anisaidie.... Unataka kuniambia hakuna watanzania wenye idea kuliko hai wakuofanikiwa ?

Tafuta kitabu kinaitwa the first billion is the hardest sina hakika na jina.....

Utakufa na idea zako mkuu...
Wakati facebook siju amazob zinaanza hawakua peke yao kulikua na washindani Kibao wao wamefanikwa sababu ya strategy tu or hw they implemented their idea hapo tuko pamoja mi na ww lakini sikubaliani na ww kuwa idea ndo kila kitu
 
Simon Adebisi,

strategy ni part ya idea pia: kabla hatujaenda mbali, we ni mfanya biashara? usiniambie ulifanya zaman,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…