stakehinh ni motuvation guru mi naona ngoja nikuache kwanza
vitabu nshasoma vingi mno yani na hapa nilipo namaljzia memoir ya founder wa nike....
chances za wewe kutoboa ukiwa huna kitu kabisa ni ndogo mno kuliko chance za aliye na pesa kufilisika sijui kama unanielewa.....
usshasoma outliers cha malcom gladwell
Mengi fa*a tu naye, mpaka anakufa hakuwa ameweka mikakati ya nani atasimamia mali zile badala yake anamwachia yule slay queen kupitia majina ya watoto. Kwanini asingeweka misingi mizuri ya wanae wakubwa kusimamia zile mali badala yake anamoabidhisha mwanamke... K bhana inazuzuaga watu kweli.
Mengi aliharibu yeye mwenyewe kwa kuimuingiza kwenye system alizojenga yule slay queen kisa mahaba
Nasisitiza tena umetudanganya.
Mshahara wake ulikua ni around $220,000 per annual.
Mabilioni?
Uongo
Kama unadhani kuwepo kwa hao wasaidizi wake ndiyo kumeikuza kampuni basi si sawa. Kampuni inaweza kuwa na watu kama hao na bado isiendelee kama board of directors au wanahisa hawatakuwa na vision na strategies sahihi.Mkuu kwani METL inarun na mtu m1? Kwani hajaajiri Marketing Managers,Sales Manager,Co-operate Manager,Customer Experience Manager and the like? Hao ndio wanaomsaidia kazi,hata MO hasipokuwepo kampuni itaendelea,hata SSB Said Salim Bakhresa asipokuwepo SSB itaenda tu.
Nadhani hujanielewa ungesoma kwa kutulia ungenielewa...Mo kaandaliwa mazingira mpaka chuo kasomea akijua anakuja kufanya Nini ..wewe toa mfano Nani kaandaliwa mpaka elimu anakuja kusimamia (sio kuanza upya) kitu kimetengenezwa akiendeleze then kaja kafeli kusimamia alichoandaliwa...mfano mzuri ni hapa hapa JF, fuatilia historia ya max alivoanza mpaka jamii forum kufika valuation ya $3M, in other words you have a poor mindset, biashara haina formular, wangapi wamesoma nje ya nchi na wameshindwa kufanikisha: wakina mond mbna wameishia form 4, mbna nakumat ilikua kubwa dogo kapewa , miezi kadhaa tu zote zmefungwa: maisha hayana formular mzee
Nakumati wana utajiri gani WA kufananisha na utajiri WA Mzee gulam na METL? Nakumat hata hemed WA shabiby anaweza kuwa anawazidi mbali tu?wabongo bana: ingekua ivo sasa makampuni makubwa yasingekufa, biashara sio mtaji tu baba, afterall mtaji sio pesa: mtaji mkubwa ni wazo lako then ndo inafuata hela, wako wapo waliokua na mitaji mikubwa, unawakumbuka nakumat? alierithishwa mbna hajawa tajir?..... wabongo kazi tunayo
Nakumati wana utajiri gani WA kufananisha na utajiri WA Mzee gulam na METL? Nakumat hata hemed WA shabiby anaweza kuwa anawazidi mbali tu?
a akili za kimaskini wengi sanaIla ukweli ni kuwa hata leo hii....ikitokea ghafla wote tupo maskin na tuanze kutafta upya
Baada ya mwaka matokeo ytakuwa n yale yale...!!matajiri watakuwa matajiri...maskin watakuwa maskini kama kawa
Umaskini huanzia kichwan
huyo jamaa hawezi kukuelewa hata kidogo we achana nae.... Kuna sehem anazungunzia founders wa google sijui yahoo af anashindwa kuelewa nn kilikuwepo nyuma yao ndo maana nikamuuliza kashasoma kitabu cha Outliers ?Nadhani hujanielewa ungesoma kwa kutulia ungenielewa...Mo kaandaliwa mazingira mpaka chuo kasomea akijua anakuja kufanya Nini ..wewe toa mfano Nani kaandaliwa mpaka elimu anakuja kusimamia (sio kuanza upya) kitu kimetengenezwa akiendeleze then kaja kafeli kusimamia alichoandaliwa...
Sielewi unavyosema poor mindset inarelate vip nachopost.(labda useme na wivu ninao ila wa maendeleo)..mbona mi nakubali hustling za kina shigongo n.k ..kila mtu na mtazamo wake mzee ...we tulia wala mi sijadiss nimeelezea tu kwa tunaonzia chini watu wetu wa kutu-inspire tupambane ni hao..
Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba kila aliyefanikiwa anakitu ambacho alifanya kikamtoa kamwe usidanganyike na vitu vya nje anavyofanya,ukiwa unauza duka likija deal lingine hauwezi kuliacha ingawa kwa watu wa nje watakuona wewe ni muuza duka,ukija kutoka watu wataanza alianza kwa kuuza duka ila sasa anamiliki kiwanda pasipo kujua kiwanda ulikipata kwa kucheza deal la kusafirisha mbao za magendo etc,na ndio maana tulidanganyika sana na kina shamimu zeze na kuanza biashara kwa msingi wa elfu 10 na kuna siku Jaqline Mengi atakuja kuleta ngonjera na yeye alianza na mtaji wa elfu 20 na watu wakamuamini.mfano mzuri ni hapa hapa JF, fuatilia historia ya max alivoanza mpaka jamii forum kufika valuation ya $3M, in other words you have a poor mindset, biashara haina formular, wangapi wamesoma nje ya nchi na wameshindwa kufanikisha: wakina mond mbna wameishia form 4, mbna nakumat ilikua kubwa dogo kapewa , miezi kadhaa tu zote zmefungwa: maisha hayana formular mzee
Inawezekana kutoboa from scratch ila ni one in a million na ni rahisi sana kutoboa kama tayari wazazi wako washaweka mambo yote fresh tusidanganyane. Wengi humu ni ma motivational speakers mnaongea vitu imaginary haviapply kibongobongo.
Mtu anaenzia from scratch kibongobongo lazima either anafanya biashara si halali, fisadi, mla rushwa au mkwepa kodi.
Hapa naongelea utajiri mkubwa sio ela ya kubadili chakula ma magari