Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Status
Not open for further replies.
Sheria za FIFA sijui kama Bakhresa atakuwa Salama.
Atakuwa Salama kwanza Bakhresa ni Group of Company. So kule utakuwa ni azam na ana miliki mtoto wake huku atajua nani atakuwa Owner wa hiyo SIMBA.tofauti na Timu za majeshi unakuta mmliki ni mmoja .Japo nao ukizma sana kuna utofauti Polisi IPO kila mkoa. Waweza wakazisajiri kwa mikoa ndio ikawa miliki mfno.Polisa DsM ,mwanza etc
 
Mwanangu inabidi tumuunge mkono mwanetu wa siku nyingi MO ijapokuwa katoa bilion20 na Bakhresa katoa bil25.


Ni kauli nikiyoisikia kwa jamaa mmoja akila msosi kwa mamantilie uswahilin kwetu.

Nilizan anajitapa ili ang'oe mama ntilie kiurahisi kwa kujifanya mtu wa michingo mirefu.
Baada ya kuiona hii post nimeamin waTz wanapenda sifa.
 
Mwanangu inabidi tumuunge mkono mwanetu wa siku nyingi MO ijapokuwa katoa bilion20 na Bakhresa katoa bil25.


Ni kauli nikiyoisikia kwa jamaa mmoja akila msosi kwa mamantilie uswahilin kwetu.

Nilizan anajitapa ili ang'oe mama ntilie kiurahisi kwa kujifanya mtu wa michingo mirefu.
Baada ya kuiona hii post nimeamin waTz wanapenda sifa.
Mie maoni yangu, ni hayo hayo tumpe team Mo, bakhresa tayari anayo azam yake. Pia sisi kama wadau wa simba zaidi tunachotaka kwenye team Ushindi na maendeleo katika Simba team.
 
Sheria za FIFA haziruhusu taasisi moja kumiliki timu mbili kwenye ligi moja , labda bahresa awe mwekezaji mwenza yani ashirikiane Na Mo kutoa fungu Kubwa zaidi au awe mwekezaji separate kabisa, yote yana wezekana ila naona great future kwa simba sport club nawashauri yanga nawao waanze Mara moja mchakato kama huu maana hadi lini watategemea kumpogia magoti MTU kama Mungu vile wakati mpira biashara.
 
Kwenye huo mchakato wa kuinunua Simba, vigezo vya kuinunua timu ya simba uwe mwanachama HAI wa Club, sasa Bw, Bakhresa vigezo vyote anavyo Simba inauza asilimia 50 ya hisa kwa wadau wake, wakati huo huo wanachama wanaona bora timu akabidhiwe Bw, Mo kwa kigezo alishatoa pesa zake, karibu billion moja.[/QUOTE]

Kumbe Bakhtesa ni mwanachama HAI wa Simba?
Kama ni kweli Yanga na Manji wao alikuwa anapambana na makubwa. Mara tatu mfululizo kombe. Hapewe Hongera zake Manji.
 
Watujengee uwanja SIMBA awe na dimba lake
 
MO sio tajiri kijana Africa huyu dogo huwa anapenda vyombo vya habari kumbeba. Hapa Tanzania tajiri kijana wa kwanza ni Manji ingawa yeye binafsi hapendi kujitangaza
 
Mo kwakweli simpendi...jamaa anapenda sana mapicha picha(kuonekana)....jamaa hata matangazo kwenye TV haweki...anapenda tu kuonekana kwenye media kwamba ni billionaire wa dollar tu basi...bora Simba aichukue SSB
 
Kwani Dau la MO ni shs ngapi? kwani hawawezi wakachukua MO asilimia 40 na Barhesa 40 na wapiga kelele wakapewa asilimia 20 kwani mpira siku hizi ni pesa.
Kweli mkuu, hawa wapiga kelele hawana umuhimu sana ktk zama hizi.
 
Acha uongo, abromovic ana timu zaid ya mbili
Huyo ni nani? Andika vitu kiukamilifu. Taja anamiliki timu gani na zipo ligi gani. Kukusaidia, Abramovich anamiliki Chelsea ambayo inacheza EPL ulaya na New York City inayocheza ligi tofauti ya MLS USA. Hapo tambua USA wala haiko hata UEFA wakati EPL iko UEFA. Hapo sheria ya Fifa haina shida. Hakuna mgongano wa kimaslahi.

Kwa timu za majeshi nadhani wanawavumilia tu. Timu za JKT na JWTZ zote ziko wizara moja ya ulinzi na bajeti inatengwa kwa wizara, ndo kusema zinamilikiwa na mmiliki mmoja. Hata timu ya Prisons na timu za Jeshi la Polisi zina mgongano wa maslahi maana ziko chini ya wizara moja. Ni upuuzi kuamini eti kambi ya jeshi inaweza kumiliki timu. Mwisho tutasema kila mtoto anamiliki chumba kwa sababu ndiko anakolala, tukasahau kwamba nyumba ni ya baba/mama.

Mtu mwenye hisa nyingi ktk timu ya Azam kuinunua simba, hata kama ni kwa asilimia 50% kutapunguza ladha ya ligi na kupunguza ushindani kati ya simba na azam. Ndo mwanzo wa kuiua azam maana nguvu kubwa itaelekezwa kwa simba. Bakheresa aache tamaa, aiimarishe Azam. Mbona Mtibwa wazuri sana mpaka Simba na Yanga zinatetemeka kucheza nayo? Aboreshe PR ya Azam tu.

Pia MO is a quitter. Kuweni nae makini. Aligombea ubunge, ukamchosha akauacha wakati wana Singida bado wanamhitaji. Pia aliwahi kuwa na timu yake (African Lyon?), akaiacha njiani. He is typical businessman, who would jump to every new opportunity that arises and thereby reduce his focus to previous businesses. Ni kama mswati ambaye kila mwaka anapata demu mbichi zaidi na anayetamanisha zaidi. Je ana muda kweli kwa wake zake wa zamani? Wewe unayechaguliwa na mswati leo utakuwa na nafasi gani kesho akichagua 'demu' mwingine?
 
Mo anapenda sifa na media attention. Yan jamaa kama sio ngozi nyeupe vile.
 
Ivi kwa nini mmoja wao haendi kuwekeza pale jirani kwa watani zetu Yanga Africa ?

Kwanini woote wang'ang'anie kuzi deposit pesa zao hapa Simba Sports Club Pekee ?

It is not fare anyhow [emoji1]
Sheria za hizi club ili uwekeze inakubidi uwe mwanachama hai, pili hicho kizungu chako kina ukakasi boss its not fare? Nauli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom