Atakuwa Salama kwanza Bakhresa ni Group of Company. So kule utakuwa ni azam na ana miliki mtoto wake huku atajua nani atakuwa Owner wa hiyo SIMBA.tofauti na Timu za majeshi unakuta mmliki ni mmoja .Japo nao ukizma sana kuna utofauti Polisi IPO kila mkoa. Waweza wakazisajiri kwa mikoa ndio ikawa miliki mfno.Polisa DsM ,mwanza etcSheria za FIFA sijui kama Bakhresa atakuwa Salama.
Mie maoni yangu, ni hayo hayo tumpe team Mo, bakhresa tayari anayo azam yake. Pia sisi kama wadau wa simba zaidi tunachotaka kwenye team Ushindi na maendeleo katika Simba team.Mwanangu inabidi tumuunge mkono mwanetu wa siku nyingi MO ijapokuwa katoa bilion20 na Bakhresa katoa bil25.
Ni kauli nikiyoisikia kwa jamaa mmoja akila msosi kwa mamantilie uswahilin kwetu.
Nilizan anajitapa ili ang'oe mama ntilie kiurahisi kwa kujifanya mtu wa michingo mirefu.
Baada ya kuiona hii post nimeamin waTz wanapenda sifa.
Kwanini mlitoa siku 10 wanaotaka hisa wajitokeze basi msingeutangazia umma hio zabuni na kumpa Mo hio zabuniHuyo bakhressa alikuwa wapi siku zote abaki na Azam yake
Kweli mkuu, hawa wapiga kelele hawana umuhimu sana ktk zama hizi.Kwani Dau la MO ni shs ngapi? kwani hawawezi wakachukua MO asilimia 40 na Barhesa 40 na wapiga kelele wakapewa asilimia 20 kwani mpira siku hizi ni pesa.
Huyo ni nani? Andika vitu kiukamilifu. Taja anamiliki timu gani na zipo ligi gani. Kukusaidia, Abramovich anamiliki Chelsea ambayo inacheza EPL ulaya na New York City inayocheza ligi tofauti ya MLS USA. Hapo tambua USA wala haiko hata UEFA wakati EPL iko UEFA. Hapo sheria ya Fifa haina shida. Hakuna mgongano wa kimaslahi.Acha uongo, abromovic ana timu zaid ya mbili
Azam !π π π π π π bakhresa nae siku zote alikuwa wapi?
Alisubiria tenda itangazweπ π π π π π bakhresa nae siku zote alikuwa wapi?
Sheria za hizi club ili uwekeze inakubidi uwe mwanachama hai, pili hicho kizungu chako kina ukakasi boss its not fare? Nauli?Ivi kwa nini mmoja wao haendi kuwekeza pale jirani kwa watani zetu Yanga Africa ?
Kwanini woote wang'ang'anie kuzi deposit pesa zao hapa Simba Sports Club Pekee ?
It is not fare anyhow [emoji1]