Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
-
- #161
Katika business tuache undugu, mwenye dau kubwa ndo apewe Mali. Mambo ya mwanachama sijui sio mwanachama ni ya kizamani. Mimi yanga damu lakini nimeona niongee kwenye hili..Tajiri kijana barani africa Bw, Mo dewji amepata changamoto kwa mfanyabiashara, mwenzake. Katika ununuzi wa hisa za club ya Simba Bw, Said Salim Bakhresa, ameweka dau la shillings za kitanzania Billion 25 huku Bw, Mo akidhani yupo peke yake.
Kwenye huo mchakato wa kuinunua Simba, vigezo vya kuinunua timu ya simba uwe mwanachama hai wa Club, sasa Bw, Bakhresa vigezo vyote anavyo Simba inauza asilimia 50 ya hisa kwa wadau wake, wakati huo huo wanachama wanaona bora timu akabidhiwe Bw, Mo kwa kigezo alishatoa pesa zake, karibu billion moja.
Kwa ajili ya kuisaidia timu. Wakati huo Bakhresa alikuwa wapi wanachama Wakihoji, na wengine wakimtaka Bw, Mo aongeze mpunga kumzidi Bakhresa. Msimamizi wa mchakato huo Jaji mihaya anasema mchakato bado unaendelea.
Mawazo Kama Haya ndo tunayotaka..kwenye mpira wa sasa na sio fadhira sijui kaanza no tunataka mpira tuletee pesaKwani Dau la MO ni shs ngapi? kwani hawawezi wakachukua MO asilimia 40 na Barhesa 40 na wapiga kelele wakapewa asilimia 20 kwani mpira siku hizi ni pesa.
Tena sana!Patamu hapa
bilioni 20Mo kaweka dau la kiasi gani?
Itakubali. Anaetaka kuwekeza Simba ni SSB, anaemiliki Azam FC ni Bakhressa Mtoto!Sheria za FIFA sijui kama Bakhresa atakuwa Salama.
inaitwa club licencingKuna sheria inayo kataza timu mbili kumilikiwa na MTU mmoja kwenye leage moja.
Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti.Mo arudishiwe iyo Billion 1 yake then mchakato uendelee.
Mkuu, Bakhressa ndio mmiliki wa makampuni ya SSB ikiwemo mpaka timu ya soka ya Azam,, hivyo kwa mujibu wa 'Club Licensing Regulations' haitakiwi mtu, taasisi au kampuni kuwa na umiliki wa zaidi ya timu moja ktk ngazi husika ya soka ktk nchi.Mbona sijakusoma Umesema tatizo bakhresa au thread na bado ukatoa mfano. Kwa timu za majeshi. Swali langu kwako kwani bakhresa ni jeshi, au mfanyabiashara na ukumbuke Azam fc inaebdeshwa na mtoto wake bakhresa, yusuph bakhresa sio mzee mwenyewe bakhresa na mzee mwenyewe vigezo vya kuinunua club anao kwa sababu Said salim bakhresa ni group of company ana hisa katika makampuni mbalimbali ya muunganiko wa azam, wakiwepo wanawe akina yusuph. Sijui kama nitakosea kukuelewesha kwa hapo mkuu.
Vipi Mbekeko Malinzi humpelekei?
hahahahahah kangi ni ale hahahahaahhUnenya...[emoji23][emoji23][emoji23]
tukichukua hiyo 25 tutakata 1b tumurudishie mo anayotudaiNani wa kurudisha?
tutatoa kwenye 25Hiyo hela ya kumrudishia hiyo bilioni moja inatoka wapi?
Aibu wamevaa pensi na malapa km wasukuma mkokoteniKikosi kizima cha timu ya simba wakiwa katika ofisi za sportspesa jijini dsm.
Conflict of interest..Itakubali. Anaetaka kuwekeza Simba ni SSB, anaemiliki Azam FC ni Bakhressa Mtoto!