Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Status
Not open for further replies.
e53682b5a74d8674926a878f22991767.jpg
Kikosi kizima cha timu ya simba wakiwa katika ofisi za sportspesa jijini dsm.
 
Tajiri kijana barani africa Bw, Mo dewji amepata changamoto kwa mfanyabiashara, mwenzake. Katika ununuzi wa hisa za club ya Simba Bw, Said Salim Bakhresa, ameweka dau la shillings za kitanzania Billion 25 huku Bw, Mo akidhani yupo peke yake.

Kwenye huo mchakato wa kuinunua Simba, vigezo vya kuinunua timu ya simba uwe mwanachama hai wa Club, sasa Bw, Bakhresa vigezo vyote anavyo Simba inauza asilimia 50 ya hisa kwa wadau wake, wakati huo huo wanachama wanaona bora timu akabidhiwe Bw, Mo kwa kigezo alishatoa pesa zake, karibu billion moja.

Kwa ajili ya kuisaidia timu. Wakati huo Bakhresa alikuwa wapi wanachama Wakihoji, na wengine wakimtaka Bw, Mo aongeze mpunga kumzidi Bakhresa. Msimamizi wa mchakato huo Jaji mihaya anasema mchakato bado unaendelea.
Katika business tuache undugu, mwenye dau kubwa ndo apewe Mali. Mambo ya mwanachama sijui sio mwanachama ni ya kizamani. Mimi yanga damu lakini nimeona niongee kwenye hili..
 
Kwani Dau la MO ni shs ngapi? kwani hawawezi wakachukua MO asilimia 40 na Barhesa 40 na wapiga kelele wakapewa asilimia 20 kwani mpira siku hizi ni pesa.
Mawazo Kama Haya ndo tunayotaka..kwenye mpira wa sasa na sio fadhira sijui kaanza no tunataka mpira tuletee pesa
 
18a719c7d9f9d3f12997083c66939c59.jpg
a5f01a407043c214c77dd661edb9317c.jpg
77c2a2caf6f6016a69a685c9407eb381.jpg
e019046292453748aa6210dcd628adbe.jpg
5749f2a9e55a8cb186b9d5f4fd04b7d1.jpg
9ed2ae085b2c0e65baa7e140a0b1e67d.jpg
b5fde370f2a51f196845be826b7dd151.jpg
cc955ecf77a8ffc62cdebd0c3564351e.jpg
37c741218d5b2a715845cecd265da9a8.jpg
Magazeti ya leo yameletwa kwenu kwa hisani ya abbasfarudume:
 
Mbona sijakusoma Umesema tatizo bakhresa au thread na bado ukatoa mfano. Kwa timu za majeshi. Swali langu kwako kwani bakhresa ni jeshi, au mfanyabiashara na ukumbuke Azam fc inaebdeshwa na mtoto wake bakhresa, yusuph bakhresa sio mzee mwenyewe bakhresa na mzee mwenyewe vigezo vya kuinunua club anao kwa sababu Said salim bakhresa ni group of company ana hisa katika makampuni mbalimbali ya muunganiko wa azam, wakiwepo wanawe akina yusuph. Sijui kama nitakosea kukuelewesha kwa hapo mkuu.
Mkuu, Bakhressa ndio mmiliki wa makampuni ya SSB ikiwemo mpaka timu ya soka ya Azam,, hivyo kwa mujibu wa 'Club Licensing Regulations' haitakiwi mtu, taasisi au kampuni kuwa na umiliki wa zaidi ya timu moja ktk ngazi husika ya soka ktk nchi.
 
Huyo bakhressa alikuwa wapi siku zote abaki na Azam yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom