Mimi ni Mwanachama wa Simba, ila kwa hili MO amepotoka.
Amefanya UJINGA wa hali ya Juu sana. Inaelekea mambo ya Kienyeji kama haya ndio maana akakimbiwa n Senzo.
Nimejisikia kujiita hivyo kabla (declare interest), kuna ubaya? By the way sifa za uanachama unazijua?Kwa nini uanze na point kwamba wewe ni mwanachama wa Simba?
Andika tu maoni yako bila kutaja hivyo, utaeleweka.
Maana najua kama ni swala la uanachama huna sifa hizo, labda useme wewe ni mshabiki wa Simba.
Kwa akili zako unadhani Mishahara inatoka wapi? kwa Mo? thubutu!!.Jana zimeingia zaidi ya 450miliion. Zawadi ya Ubingwa Voda wadhamini wa ligi 100, udhamini wa sportpesa kwa mwaka 100mil. wadhamini wa Jersey mil 600 kwa miaka mitatu (gawa kwa tatu kama ulisoma hesabu).Yeye anatakiwa kulipa 250 mil kwa mwaka kupitia udhamini wa Mo extra achilia mbali utapeli anaoufanya sasa wa kuchomekea bidhaa zake za Mo protector na mwaka jana Mo Halisi wakati sio ndani ya mkataba...hapo hata wewe ungeshindwa kulipa Mshahara? hapo sijaweka viingilio vya ligi za premier kwa mechi zoote za dar... chukulia tu mechi ya Yanga juzi tumepata si chini ya 200 milliomKwa akili zako wanachama wachukue timu ya simba unafikiri hata mishahara tu wataweza kulipa
Pumbavu wew, unadhani ni rahisi hvyo kama kwenda chooni.Kwa akili zako unadhani Mishahara inatoka wapi? kwa mMo? thubutu!!.Jana zimeingia zaidi ya 450miliion. Zawadi ya Ubingwa Voda 100, udhamini wa sportpesa kwa mwaka 100mil. wadhamini wa Jersey mil 600 kwa miaka mitatu (gawakwa tatu kama ulisoma hesabu).Yeye anatkiwa kulipa 250 mil kwa mwaka kupitia udahmini waMo extra achilia mbali utapeli anaoufanya sasa wa kuchomkea Mo protector an mwaka jana sabuni halisi wakati sio ndani ya mkataba...hapo hata wewe ungeshindwa kulipa Mshahara? hapo sijaweka viingilio vya ligi za premier kwa mechi zoote za dar...
Pumbavu wew, unadhani ni rahisi hvyo kama kwenda chooni.
Hujatoa matumizi, diamond hajaenda bure, timu ya vitalo ilihudumiwa na simba kila kitu, uwanja ule si wa simba hivyo unalipiwa nk.Kwa akili zako unadhani Mishahara inatoka wapi? kwa mMo? thubutu!!.Jana zimeingia zaidi ya 450miliion. Zawadi ya Ubingwa Voda wadamini wa ligi 100, udhamini wa sportpesa kwa mwaka 100mil. wadhamini wa Jersey mil 600 kwa miaka mitatu (gawa kwa tatu kama ulisoma hesabu).Yeye anatakiwa kulipa 250 mil kwa mwaka kupitia udhamini wa Mo extra achilia mbali utapeli anaoufanya sasa wa kuchomekea bidhaa zake za Mo protector na mwaka jana Mo Halisi wakati sio ndani ya mkataba...hapo hata wewe ungeshindwa kulipa Mshahara? hapo sijaweka viingilio vya ligi za premier kwa mechi zoote za dar... chululia ti mechi ya Yanga juzi tumepata si chini ya 200milliom
Mwambie huyo punguani wa utopolo......hajielewiHujatoa matumizi, diamond hajaenda bure, timu ya vitalo ilihudumiwa na simba kila kitu, uwanja ule si wa simba hivyo unalipiwa nk.
Sport pesa milioni 100 hazitoshi hata kununua Mchezaji mmoja wa maana.
Nimejisikia kujiita hivyo kabla (declare interest), kuna ubaya? By the way sifa za uanachama unazijua?
Kwa akili zako unadhani Mishahara inatoka wapi? kwa Mo? thubutu!!.Jana zimeingia zaidi ya 450miliion. Zawadi ya Ubingwa Voda wadhamini wa ligi 100, udhamini wa sportpesa kwa mwaka 100mil. wadhamini wa Jersey mil 600 kwa miaka mitatu (gawa kwa tatu kama ulisoma hesabu).Yeye anatakiwa kulipa 250 mil kwa mwaka kupitia udhamini wa Mo extra achilia mbali utapeli anaoufanya sasa wa kuchomekea bidhaa zake za Mo protector na mwaka jana Mo Halisi wakati sio ndani ya mkataba...hapo hata wewe ungeshindwa kulipa Mshahara? hapo sijaweka viingilio vya ligi za premier kwa mechi zoote za dar... chukulia tu mechi ya Yanga juzi tumepata si chini ya 200 milliom
Tukubaliane hapa nikionyesha Kadi hata kwa Nyuma kusiko na Information Upigwe life ban. Upande wa mbele siwezi kuweka.I can tell wewe siyo mwanachama wa Simba, prove me wrong.
Onyesha kadi yako ya uanachama. Na mara ya mwisho umeilipia lini, onyesha receipt.