MO ashambuliwa mitandaoni na Wanasimba baada ya kumpigia Kampeni "Zungu" na Magufuli Simba Day

Kwa akili zako unadhani Mishahara inatoka wapi? kwa Mo? thubutu!!.Jana zimeingia zaidi ya 450miliion. Zawadi ya Ubingwa Voda wadhamini wa ligi 100, udhamini wa sportpesa kwa mwaka 100mil. wadhamini wa Jersey mil 600 kwa miaka mitatu (gawa kwa tatu kama ulisoma hesabu).Yeye anatakiwa kulipa 250 mil kwa mwaka kupitia udhamini wa Mo extra achilia mbali utapeli anaoufanya sasa wa kuchomekea bidhaa zake za Mo protector na mwaka jana Mo Halisi wakati sio ndani ya mkataba...hapo hata wewe ungeshindwa kulipa Mshahara? hapo sijaweka viingilio vya ligi za premier kwa mechi zoote za dar... chukulia tu mechi ya Yanga juzi tumepata si chini ya 200 milliom
hizi ni akili za chooni
 
Hahaha uanachama ni kama chanjo ya ujinga.

Ukiacha uanachama na ufuasi inakuwa mtu huru.

Kesha ona yeye ndio Mungu wenu acha awaburuze.
 
Kwa nini uanze na point kwamba wewe ni mwanachama wa Simba?

Andika tu maoni yako bila kutaja hivyo, utaeleweka.

Maana najua kama ni swala la uanachama huna sifa hizo, labda useme wewe ni mshabiki wa Simba.
Hata kama kaanza kuandika hvyo mbina ujumbe umeeleweka.. Acha kuonea RAIA bhna
 
Huyo Mo pamoja na Haji wajirekebishe kutaka kuingiza serikali katika michezo na kuanza kupiga debe mtu mwenye akili timamu hawezi kumwombea kura Nzungu kwa kusema huyu ni mwenzetu hivi anafikiri Zungu anaweza kushinda kwa kura za simba tu yeye aweke b20 sio kupoteza lengo
Haji na Mo wanajipendekeza jamani mpaka basi. Hata Baba Keagan wanamzidi.
 
Mwenzenu alinyooshwa huyo...

Hamjamuelewa tu?

Zungu kaja kufumua...
 
Kwa akili zako unadhani Mishahara inatoka wapi? kwa Mo? thubutu!!.Jana zimeingia zaidi ya 450miliion. Zawadi ya Ubingwa Voda wadhamini wa ligi 100, udhamini wa sportpesa kwa mwaka 100mil. wadhamini wa Jersey mil 600 kwa miaka mitatu (gawa kwa tatu kama ulisoma hesabu).Yeye anatakiwa kulipa 250 mil kwa mwaka kupitia udhamini wa Mo extra achilia mbali utapeli anaoufanya sasa wa kuchomekea bidhaa zake za Mo protector na mwaka jana Mo Halisi wakati sio ndani ya mkataba...hapo hata wewe ungeshindwa kulipa Mshahara? hapo sijaweka viingilio vya ligi za premier kwa mechi zoote za dar... chukulia tu mechi ya Yanga juzi tumepata si chini ya 200 milliom
Kabla ya Mo kuja hayo yote mbona hamkuyafanya mkawa mnalialia tu Mooooo kama ng'ombe zikiswagwa kwenda malishoni
 
Kwa akili zako unadhani Mishahara inatoka wapi? kwa Mo? thubutu!!.Jana zimeingia zaidi ya 450miliion. Zawadi ya Ubingwa Voda wadhamini wa ligi 100, udhamini wa sportpesa kwa mwaka 100mil. wadhamini wa Jersey mil 600 kwa miaka mitatu (gawa kwa tatu kama ulisoma hesabu).Yeye anatakiwa kulipa 250 mil kwa mwaka kupitia udhamini wa Mo extra achilia mbali utapeli anaoufanya sasa wa kuchomekea bidhaa zake za Mo protector na mwaka jana Mo Halisi wakati sio ndani ya mkataba...hapo hata wewe ungeshindwa kulipa Mshahara? hapo sijaweka viingilio vya ligi za premier kwa mechi zoote za dar... chukulia tu mechi ya Yanga juzi tumepata si chini ya 200 milliom
Ingekuwa rahisi hivi nadhani timu zingekuwa juu sana
 
Mo ndio mwenye sima, hiyo simba mnayoiona ni matokeo ya jasho la Mo . Nyie wafunkunyuku hamna cha kuiwezesha klabu zaidi ya kushangilia matunda ya jasho la mwanaume mwenzenu.

Kama amewakasirisha isiwe taabu hamieni Utoporo milango iko wazi.

Simba ni Mo na Mo ni pesa.
Wanasimba walichukizwa saana na kitendo alichokifanya MO jana wakati akimtambulisha mgeni rasmi aliyekuwa Mbunge wa Ilala Zungu kwa kuanza kumuombea kura uchaguzi ujao na baadae akaendelea kwa kusema Magufuli oyeee huku akiomba wananchi waendelee kumuamini Rais na kumpa kura tena mwaka huu.

Ghafla uwanja mzima ukapooza baada ya yeye kuongea huo upuuzi kuanzia jana usiku hadi mida hii kwenye mitandao mbali mbali kila akindika jambo( anapenda saana kupost Twitter & Instragam) amekuwa akishambuliwa sana hasa na mashahabiki kwa upuuzi alioufanya jana.

Funzo:
Anahitaji kuondoa kiburi, majigambo na kujikweza kwani mpaka sasa bado hajatimiza masharti ya kumiliki Club wanachama wanaweza ichukua muda wowote.
 
Mo ndio mwenye sima, hiyo simba mnayoiona ni matokeo ya jasho la Mo . Nyie wafunkunyuku hamna cha kuiwezesha klabu zaidi ya kushangilia matunda ya jasho la mwanaume mwenzenu.

Kama amewakasirisha isiwe taabu hamieni Utoporo milango iko wazi.

Simba ni Mo na Mo ni pesa.
Ki ukweli ni suala la maamuzi na mipango tu.
Unadhani Simba inakosa japo Wanachama/Mashabiki 1,000,000 wa kutoa japo Buku Buku tu kila mwezi?
 
Simba mna control-iwa sana na jamaa. Mnachokijadili hapa kwake ni mafanikio. Bado kununuliwa tu na nyie kwa bei ya hasara. Wakti utazungumza.
Tangu lini muhundi akawa na mapenzi ua kweli na magolo ?
Mo anawavuruta wanasimba kwasababu anawalea.
 
Si vibaya kumnyenyekea mwenye nguvu aliyoyapitia anayajua mwenyewe!utekwe na wahuni tu halafu usalimike ukae kimya!acheni maskhara yenu CCM oyee!
 
Hujatoa matumizi, diamond hajaenda bure, timu ya vitalo ilihudumiwa na simba kila kitu, uwanja ule si wa simba hivyo unalipiwa nk.

Sport pesa milioni 100 hazitoshi hata kununua Mchezaji mmoja wa maana.
Mpigie na Nauli za Ndege, kuweka kambi, malazi, Chakula, etc kwa watu wazima wapatao 30+
 
Back
Top Bottom