MO ashambuliwa mitandaoni na Wanasimba baada ya kumpigia Kampeni "Zungu" na Magufuli Simba Day

hizi ni akili za chooni
 
Hahaha uanachama ni kama chanjo ya ujinga.

Ukiacha uanachama na ufuasi inakuwa mtu huru.

Kesha ona yeye ndio Mungu wenu acha awaburuze.
 
Kwa nini uanze na point kwamba wewe ni mwanachama wa Simba?

Andika tu maoni yako bila kutaja hivyo, utaeleweka.

Maana najua kama ni swala la uanachama huna sifa hizo, labda useme wewe ni mshabiki wa Simba.
Hata kama kaanza kuandika hvyo mbina ujumbe umeeleweka.. Acha kuonea RAIA bhna
 
Haji na Mo wanajipendekeza jamani mpaka basi. Hata Baba Keagan wanamzidi.
 
Mwenzenu alinyooshwa huyo...

Hamjamuelewa tu?


Zungu kaja kufumua...
 
Kabla ya Mo kuja hayo yote mbona hamkuyafanya mkawa mnalialia tu Mooooo kama ng'ombe zikiswagwa kwenda malishoni
 
nitag mkuu
maana mimi sijaona mpaka nmeingia humu
 
Ingekuwa rahisi hivi nadhani timu zingekuwa juu sana
 
Mo ndio mwenye sima, hiyo simba mnayoiona ni matokeo ya jasho la Mo . Nyie wafunkunyuku hamna cha kuiwezesha klabu zaidi ya kushangilia matunda ya jasho la mwanaume mwenzenu.

Kama amewakasirisha isiwe taabu hamieni Utoporo milango iko wazi.

Simba ni Mo na Mo ni pesa.
 
Ki ukweli ni suala la maamuzi na mipango tu.
Unadhani Simba inakosa japo Wanachama/Mashabiki 1,000,000 wa kutoa japo Buku Buku tu kila mwezi?
 
Simba mna control-iwa sana na jamaa. Mnachokijadili hapa kwake ni mafanikio. Bado kununuliwa tu na nyie kwa bei ya hasara. Wakti utazungumza.
Tangu lini muhundi akawa na mapenzi ua kweli na magolo ?
Mo anawavuruta wanasimba kwasababu anawalea.
 
Si vibaya kumnyenyekea mwenye nguvu aliyoyapitia anayajua mwenyewe!utekwe na wahuni tu halafu usalimike ukae kimya!acheni maskhara yenu CCM oyee!
 
Hujatoa matumizi, diamond hajaenda bure, timu ya vitalo ilihudumiwa na simba kila kitu, uwanja ule si wa simba hivyo unalipiwa nk.

Sport pesa milioni 100 hazitoshi hata kununua Mchezaji mmoja wa maana.
Mpigie na Nauli za Ndege, kuweka kambi, malazi, Chakula, etc kwa watu wazima wapatao 30+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…