MO ashambuliwa mitandaoni na Wanasimba baada ya kumpigia Kampeni "Zungu" na Magufuli Simba Day

Kakudanganya nani? Ngoja JPM aondoke October ndio utaelewa kama ni yake au ni ya wanachama Utopolo wewe
 
Mimi ni Mwanachama wa Simba, ila kwa hili MO amepotoka.
Amefanya UJINGA wa hali ya Juu sana. Inaelekea mambo ya Kienyeji kama haya ndio maana akakimbiwa n Senzo.
Wafanya biashara wakubwa wameshindwa kumkalisha chini Jpm na hivyo wameamua kuungana nae kwa kujipendekeza ili maisha yao ya kibiashara yasiwe magumu.Juzi tu Rostam kamchangia 20mil Jpm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…