MO awapigia saluti yanga baada ya kutinga fainali

Nasemajee, Simba sio Twanga Pepeta! Mwambieni huyo mama aende akawaongoze kina Ally Choki na Khalid Chokoraa, Sisi tunamtaka Chief Mungungu wa Msovero.!
 
yupo sahihi Utopolo hata mimi nawapongeza, ingawa mmepitia njia nyepesi tupu mpaka kufika final.
 
Kanjibhai na mpira wapi na wapi. Anachojua ni kubana mpaka sh. 50 kwenye biashara baasi
 
Sikuzote ukiendesha gari rough road unaona upande wa pili ndo njia nzuri na nyepesi... pia the grass is always greener on the other side.!
mfano wako auhakisi nilichosema.
champions kuna visiki vingi lelemama afiki hata group stage sikwambii robo final.
 
yupo sahihi Utopolo hata mimi nawapongeza, ingawa mmepitia njia nyepesi tupu mpaka kufika final.
Hakuna njia nyepesi wewe. Sema umeamua kuita njia nyepesi kuufurahisha moyo wako. Unakutana na mtu amepata div 1 na wewe umepata 3 au four halafu unajitetea kwamba huyu kapata 1 kwa sababu kasoma shule ya private na mm 4 kwasababu nimesoma shule ya kata?
 
mfano wako auhakisi nilichosema.
champions kuna visiki vingi lelemama afiki hata group stage sikwambii robo final.
Bingwa wa cafcc 2022 alimfunga bingwa wa champions league 2022 na kubeba super cup !!!
 

Attachments

  • 6DAE1EB3-B487-49C8-9FCF-2B6552D22950.jpeg
    179.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…