Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Tajiri maneno awapigia yanga saluti baada ya kutinga fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuzote ukiendesha gari rough road unaona upande wa pili ndo njia nzuri na nyepesi... pia the grass is always greener on the other side.!yupo sahihi Utopolo hata mimi nawapongeza, ingawa mmepitia njia nyepesi tupu mpaka kufika final.
mfano wako auhakisi nilichosema.Sikuzote ukiendesha gari rough road unaona upande wa pili ndo njia nzuri na nyepesi... pia the grass is always greener on the other side.!
Ni maneno ya kiuanamichezo. Lakini namshauri aache kuamini Wapigaji wakati wa usajili. Pale Simba kuna watu wa 10% zaidi ya watatu wakiongozwa na Try Again anayepokea bonus toka Kwa Tibanzokiza.Tajiri maneno awapigia yanga saluti baada ya kutinga fainali View attachment 2626073
Wewe msimu uliopita si ulishiriki shirikisho je ulifika wapi?mfano wako auhakisi nilichosema.
champions kuna visiki vingi lelemama afiki hata group stage sikwambii robo final.
Nyinyi CAFCC mlifika wapi?mfano wako auhakisi nilichosema.
champions kuna visiki vingi lelemama afiki hata group stage sikwambii robo final.
Hakuna njia nyepesi wewe. Sema umeamua kuita njia nyepesi kuufurahisha moyo wako. Unakutana na mtu amepata div 1 na wewe umepata 3 au four halafu unajitetea kwamba huyu kapata 1 kwa sababu kasoma shule ya private na mm 4 kwasababu nimesoma shule ya kata?yupo sahihi Utopolo hata mimi nawapongeza, ingawa mmepitia njia nyepesi tupu mpaka kufika final.
Bingwa wa cafcc 2022 alimfunga bingwa wa champions league 2022 na kubeba super cup !!!mfano wako auhakisi nilichosema.
champions kuna visiki vingi lelemama afiki hata group stage sikwambii robo final.