Mo aweka 500milion Simba akishinda ingawa hata yeye anajua tu haiwezekani

Viongozi watano wa Simba Sawa na Herris mmoja kiutendaji na maamuzi ya kiuongozi wa mpira au kuendesha club.Hiyo wanajuwa hawatoweza ndiyo maana wanazugwa.
Mkuu Kwamba kina mangungu ni Cha mtoto?
 
Duuuuh sure?
 
Hawa Dewji family washaona 5imba ni kichaka chao cha kujipatia hela,nikikumbuka yale ya mwaka 1993 ya Chai Maharage kwa kila mchezaji na benchi la ufundi nacheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…