Mo aweka 500milion Simba akishinda ingawa hata yeye anajua tu haiwezekani

Mo aweka 500milion Simba akishinda ingawa hata yeye anajua tu haiwezekani

Bora asingeahidi hii itawavunja moyo sana wachezaji maana wanajua ni uongo na uwezekano wa kupewa ni almost haupo
Yanga wao bonus zimewekwa kabisa kwenye mktaba Kila mechi wakishinda wanakuta kwenye mshahara wao percent imeongezeka maisha yanaendelea
Duuuuh sure?
 
Hawa Dewji family washaona 5imba ni kichaka chao cha kujipatia hela,nikikumbuka yale ya mwaka 1993 ya Chai Maharage kwa kila mchezaji na benchi la ufundi nacheka sana.
 
Back
Top Bottom