Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Bila shaka tena?Kwenye group stages bila Shaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka tena?Kwenye group stages bila Shaka
Hamasa inahitaji hata watu wawiliKama pesa ipo wangewasaidia pia mashabiki wao waende wakaongeze hamasa badala ya kukaa kuimbiana taarabu tu na watu wa Yanga kisa pesa za serikali
hicho kipengele muhimu sana kinawezekana kabisa kwa simba kukivuka...Hapo ndo kipengele....[emoji23]
Uyo ukiona ametoa motisha ya ivyo anakua anajua kabisa pesa yake Iko kwenye mikono salama inamrudia, akunaga mhindi boya na yeye keshausoma mchezo anajua kolo aliendi popoteHabari wakuu
Rais wa heshima na Mwekezaji wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji Maarufu ‘MO’ ameweka ahadi nono kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo wataweza kufuzu kwenda hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu 2023-20 24.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’amesema motisha imetolewa ni kubwa hivyo ni jukumu la wachezaji kujituma na kupata matokeo katika mchezo huo.
Je tajiri anatuzuga...au yupo serious....???
Au Kwa vile anajua hili ni impossible [emoji23][emoji23] Kwa makolo kushinda View attachment 2953408
Na waganga 20Hamasa inahitaji hata watu wawili
Hao mashabiki hamasa zao zilisaidia nini kwa mkapa?Kama pesa ipo wangewasaidia pia mashabiki wao waende wakaongeze hamasa badala ya kukaa kuimbiana taarabu tu na watu wa Yanga kisa pesa za serikali
Kupunguza idadi ya magoliHao mashabiki hamasa zao zilisaidia nini kwa mkapa?
Hii ni biashara anajua akitoa 500, Simba ikienda nusu atapata mara mbili na nusu ya hiyo!Aache kutoa kwenye usajili aje atoe huku? Kashausoma mchezo kuwa hawatoboi ndio maana anawapa matumaini ya uongo.
Sahihi mkuu....Uyo ukiona ametoa motisha ya ivyo anakua anajua kabisa pesa yake Iko kwenye mikono salama inamrudia, akunaga mhindi boya na yeye keshausoma mchezo anajua kolo aliendi popote
ndiyo,Simba hi hi ya kina saido
ni ujinga tu huu,timu ya ushindi hujengwa kila idara,haitegemei motishaHabari wakuu