Mo aweka 500milion Simba akishinda ingawa hata yeye anajua tu haiwezekani

Habari wakuu

Rais wa heshima na Mwekezaji wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji Maarufu ‘MO’ ameweka ahadi nono kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo wataweza kufuzu kwenda hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu 2023-20 24.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’amesema motisha imetolewa ni kubwa hivyo ni jukumu la wachezaji kujituma na kupata matokeo katika mchezo huo.

Je tajiri anatuzuga...au yupo serious....???
Au Kwa vile anajua hili ni impossible [emoji23][emoji23] Kwa makolo kushinda View attachment 2953408
Uyo ukiona ametoa motisha ya ivyo anakua anajua kabisa pesa yake Iko kwenye mikono salama inamrudia, akunaga mhindi boya na yeye keshausoma mchezo anajua kolo aliendi popote
 
Sahihi mkuu....

Swali ...Kwann hii motisha hakuweka Toka mech ya hapa Kwa mkapa
 
Habari wakuu

Rais wa heshima na Mwekezaji wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji Maarufu ‘MO’ ameweka ahadi nono kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo wataweza kufuzu kwenda hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu 2023-20 24.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’amesema motisha imetolewa ni kubwa hivyo ni jukumu la wachezaji kujituma na kupata matokeo katika mchezo huo.

Je tajiri anatuzuga...au yupo serious....???
Au Kwa vile anajua hili ni impossible [emoji23][emoji23] Kwa makolo kushinda View attachment 2953408
ni ujinga tu huu,timu ya ushindi hujengwa kila idara,haitegemei motisha
 
Back
Top Bottom