vvvv
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 406
- 717
Lolote laweza kutokea,African Football league tulitoka Dar 2-2, kwao tukatoka 1-1kama mafarao waliweza kupata goli apa kwetu, simba inaweza vilevile kupata magoli zaidi kule kwao pia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lolote laweza kutokea,African Football league tulitoka Dar 2-2, kwao tukatoka 1-1kama mafarao waliweza kupata goli apa kwetu, simba inaweza vilevile kupata magoli zaidi kule kwao pia...
Daima mbeleeeee 💚💚💛🖤💪💪
Kwani huoni upendeleo?Kama pesa ipo wangewasaidia pia mashabiki wao waende wakaongeze hamasa badala ya kukaa kuimbiana taarabu tu na watu wa Yanga kisa pesa za serikali
Sio waganga sema majini ya utopoloniNa waganga 20
Huko kapelekwa mungu wa wahindi mooooooSio waganga sema majini ya utopoloni
Hehe si wamepewa hela kiasi sawa upendeleo uko wapiKwani huoni upendeleo?
inawezekana.....Lolote laweza kutokea,African Football league tulitoka Dar 2-2, kwao tukatoka 1-1
500m kwa Mo kuipa Simba siyo tatizo kabisa, ila sasa mpokeaji ndiye hajulikani vizuri.Habari wakuu
Rais wa heshima na Mwekezaji wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji Maarufu ‘MO’ ameweka ahadi nono kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo wataweza kufuzu kwenda hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu 2023-20 24.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’amesema motisha imetolewa ni kubwa hivyo ni jukumu la wachezaji kujituma na kupata matokeo katika mchezo huo.
Je tajiri anatuzuga...au yupo serious....???
Au Kwa vile anajua hili ni impossible [emoji23][emoji23] Kwa makolo kushinda View attachment 2953408
Mpira haupo kama unavyofikiri weweLkn tumeshindwa pata matokeo
Kesho siyo mbali dogo.Labda kuingia shimoni
All the best mnyamahamasa muhimu na ya maana sana hii 🐒
Kila la kheri Simba huko Cairo
Simba kuingia kwa MO waliingia choo cha kike. Huyu mtapeli ana uhakika Simba kafika mwisho ndio anatoa ahadi kuwalaghai wajinga. Nadhani wanaSimba wameshashtuka. Kufuzu hatua ya makundi hakuahidi wala hakutoa zawadi yoyote. Kuingia robo fainali hakuahidi wala kutoa chochote. Kuchukua Ngao ya Jamii au Hisani hakuahidi wala kutoa zawadi yoyote. Bado ni mfadhili? Badala yake anafadhili posts kwenye social media kumpiga vita Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanachama Bwana Mangunguhamasa muhimu na ya maana sana hii [emoji205]
Kila la kheri Simba huko Cairo