Mo Bamba NBA sasa sio tena Hasheem Thabeet

Mo Bamba NBA sasa sio tena Hasheem Thabeet

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
1676010087284.png

Baada ya kijana wetu hashimu Sabiti kuamua kutembeza tango pori badala ya kucheza kikapu kaibuka mwamba huyo Mobamba toka Ivory Coast.

Orlando Magic to Lakers,

Kijana wenu alionekana mitaani juzi kati akiuza sura.

Sijui hata yuko wapi
 
Hashim Thabit hana tofauti na Kibu Dennis! Wadau waliwawekea matarajio makubwa! Ila mwisho wa siku matokeo yao yamekuwa ni ya kusikitisha, kufadhaisha na pia kuhuzunisha.
Yaani mimi kama shabiki wa Simba nakerwa sana na yule mpuuzi Kibu. Nilimuunga mkono Pape Ousmane Sakho alipo'fume' baada ya kufanyiwa sub kumpisha Kibu kwenye game ya Simba vs Coastal Union. Mimi ningekuwa Sakho ningemrushia kiatu kocha. Huyo Kibu alipoingia alifanya nini cha maana? Shwaini zake.
 
Hashim Thabit hana tofauti na Kibu Dennis! Wadau waliwawekea matarajio makubwa! Ila mwisho wa siku matokeo yao yamekuwa ni ya kusikitisha, kufadhaisha na pia kuhuzunisha.
Kwa nini umtaje Kibu Denis?
 
Sio wapowapo Wacongo ni moja kati ya waafrica waliofanya poa NBA tangu enzi hizo za kina Dikembe Mutombo mzee wa Big Ballin na kina D Ilunga Mbenga na wengine kibao,kwa hapa Africa Hakeem Olajuwon wa Ghana ndio the greatest wetu ana rekodi nzuri sana NBA
Huyo Dikembe Mutombo katajwa sana katika nyimbo za Wenge BCBG
 
Watu wanazungumzia kikapu wewe unaleta habari za kibu Denis Prosper una shida binafsi na yeye.
Na uzuri na mimi nimezungumzia wanamichezo ambao jamii ilikuwa na matarajio makubwa kwao, na baadaye kushindwa kufikia hayo matarajio!

Hasheem Thabit na huyo dogo ni mifano halisi. Wala sina shida binafsi na yeye. Nimewalinganisha tu.
 
Back
Top Bottom