Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
💯Na uzuri na mimi nimezungumzia wanamichezo ambao jamii ilikuwa na matarajio makubwa kwao, na baadaye kushindwa kufikia hayo matarajio!
Hasheem Thabit na huyo dogo ni mifano halisi. Wala sina shida binafsi na yeye. Nimewalinganisha tu.