TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Yeah hata kwenye nyimbo za mbele katajwa sana Soulja Boy,Kanye west,post Malone na rae sremmurd wamemtaja katika baadhi ya ngoma zao jamaa alikuwa ni greatest pale NBAHuyo Dikembe Mutombo katajwa sana katika nyimbo za Wenge BCBG