Mo Bamba NBA sasa sio tena Hasheem Thabeet

Mutombo Dikembe ilikua habari ingine ?kuna yule Msudan pia aliwai kuvuma sana NBA
Yule msudan kwa sasa ni marehemu alikuwa anaitwa Manute Bol jamaa mwembamba mrefu hivi hata Hasheem haingizi mguu,alikuwa na nidhamu ya hali ya juu hadi leo NBA anaheshimika...enzi hizo alipokuwa kwao Sudan aliwahi kuua Simba aliyetaka kula mifugo yake kwa fimbo tu
 
Ana mtoto wake anacheza NBA
Yes na mtoto wake ni moja ya tegemeo kubwa sana kwa timu ya taifa ya basketball ya Sudan kusini,Hapa Africa timu ya taifa ya Sudan kusini ni moja ya timu bora upande wa basketball na inafanya vizuri kimataifa sambamba na Nigeria na Dr Congo..

Olympic ya mwaka juzi timu ya taifa ya Nigeria ikiwa na wachezaji wa kawaida tu ambao wengi wao wanacheza ligi za kawaida za ulaya waliikalisha timu ya taifa ya Marekani iliyosheheni mastaa wote wa NBA
 
Ukitizama College Basketball (CBB) kuna dogo mmoja anaitwa Oscar Tshiebwe ni Mkongo yupo Kentucky Wildcats.

He's going to be a star.
View attachment 2512534

Mchezaji gumzo duniani Kwa sasa anaitwa Victor Wembanyama ana asili ya Congo lakini mfaransa...watu wanadai anaenda kuwa star kuliko LeBron mwakani ... NBA ...wanamsubiri Kwa hamu..
 
Inapasa ufaham why hasheem alijikuta yupo NBA marekani sio ulaumu tu... Hasheem wala hapend mpira wa kikapu ni vile urefu wake wa ajabu ndio uliomfanya dunia ikamsogeza huko.. na ndomana ameshindwa.. sabab sio passion... Wale kina cobe kina lebron.. mchezo uko damuni... Yaan kama wew unavyopenda kuchakata papuch. i bas na wale ndio wanavyoupenda huo mchezo... Na ndomana na mafanikio yotee.. lakin unaona bado kina bron wana vunja rekodi zao kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…