Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Anacheka chekaMmiliki wa klabu ya Simba ndugu Mohamed Dewji amesema ya kwamba atazungumza na wanasimba instagram live ili wamueleze changamoto za klabu yao ikiwemo wachezaji gani wafukuzwe katika klabu ya Simba..
Pia amewaomba wanasimba waandae majina ya wachezaji wanaoona wanafaa ili awasajili dirisha lijalo la usaji..
Kwako mwana Simba je unapendekeza nani afukuzwe na nani asajiliwe?
Sisi tunataka tarehe 20-4-2024 tushinde wengine hatuko InstagramMmiliki wa klabu ya Simba ndugu Mohamed Dewji amesema ya kwamba atazungumza na wanasimba instagram live ili wamueleze changamoto za klabu yao ikiwemo wachezaji gani wafukuzwe katika klabu ya Simba..
Pia amewaomba wanasimba waandae majina ya wachezaji wanaoona wanafaa ili awasajili dirisha lijalo la usaji..
Kwako mwana Simba je unapendekeza nani afukuzwe na nani asajiliwe?
Unamfukuzaje alietoa pesa yake, huyo mnae labda atokee mtu atoe dau refu na yeye atake kuuza ila akigoma hio club hadi wajukuu wake wataimilikiHuyu tapeli yeye ndio awe wa kwanza kufukuzwa hapo simba. Bila hivyo timu itabaki hapa hapa ilipogotea
Kwa hiyo mshawasamehe Mangungu na Jaribu Tena?Huyu tapeli yeye ndio awe wa kwanza kufukuzwa hapo simba. Bila hivyo timu itabaki hapa hapa ilipogotea
Sio mjinga , wajinga ni SimbaMudi ni Mjinga sana.....!!!
Unafaidika nini kwa kuweka picha za photoshop? Makolo mna mihaho sanaMo amegoma kushika matunguriView attachment 2963860
Huyu jamaa ameshaona kuwa akili za Wanasimba ni kama vitenesi tu.Mmiliki wa klabu ya Simba ndugu Mohamed Dewji amesema ya kwamba atazungumza na wanasimba instagram live ili wamueleze changamoto za klabu yao ikiwemo wachezaji gani wafukuzwe katika klabu ya Simba..
Pia amewaomba wanasimba waandae majina ya wachezaji wanaoona wanafaa ili awasajili dirisha lijalo la usaji..
Kwako mwana Simba je unapendekeza nani afukuzwe na nani asajiliwe?
Ameona wanachama na mashabiki wanamzonga, kawa mpole.Mmiliki wa klabu ya Simba ndugu Mohamed Dewji amesema ya kwamba atazungumza na wanasimba instagram live ili wamueleze changamoto za klabu yao ikiwemo wachezaji gani wafukuzwe katika klabu ya Simba..
Pia amewaomba wanasimba waandae majina ya wachezaji wanaoona wanafaa ili awasajili dirisha lijalo la usaji..
Kwako mwana Simba je unapendekeza nani afukuzwe na nani asajiliwe?