Mo Dewj asema atazungumza na Wana Simba Instagram ili Wafanye usajili wa kishindo

timu imefikia hatua yakufanya usajili instagram?? Mafanikio mtayasikia tu kwa wenzenu walio serious na usajili
 
Mbumbumbu watafurahiaa na watashiriki
 
yaani bosi anajadili na mashabiki mchezaji gani wa kununuliwa na sio benchika!!!!
aisee hii timu ina vituko sana...yanga bingwa 10 years kweli
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
 
Iyo timu haina kitengo cha scouting, mwisho wa msimu benchi la ufundi halitoi ripoti na mapendekezo? Kuchezea akili za mashabiki wa makolo ni rahisi sana, Rage alikua sahihi.
 
Kwani Simba si mali yake mkuu? Kuna shida akiamua kufanya hivyo?
 
Unaupiga mwingi saana mkuu.
 
Leta Haaland, Leta Mbappe, Leta Vinicious Junior, Leta Rodri, Leta De Bruyne....mbona simple tu dios lazima uwe kocha kujua wachezaji wazuri.... Haya Mlete na Pep Guadiola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…