Mo Dewj asema atazungumza na Wana Simba Instagram ili Wafanye usajili wa kishindo

Mo Dewj asema atazungumza na Wana Simba Instagram ili Wafanye usajili wa kishindo

timu imefikia hatua yakufanya usajili instagram?? Mafanikio mtayasikia tu kwa wenzenu walio serious na usajili
 
That's not the way uongozi na usimamizi wa club au kampuni unavyofanyika ulimwengu wa corporates. Huyu ni mwehu au anawachezea akili simba fans and members. Mkikubali imekula kwenu.

Mambo ya kiutawala yanaendeshwa kiofisi sio kiholela namna hiyo otherwise angeitisha extra ordinary meeting wayajadili huko sio kuendesha team kwa mitandao.

Je mna uhakika gani hayo maoni yatatokana na simba fans and members wa kweli? Mnaingizwa chaka kweupe msikubalii huu ujinga wa gabachori kama ameshindwa kusimamia team awape wadau wengine.

Otherwise tukutane tarehe 20 ndio mtaamua muendeshe team kwenye mitandao au kiofisi.
Mbumbumbu watafurahiaa na watashiriki
 
Mmiliki wa klabu ya Simba ndugu Mohamed Dewji amesema ya kwamba atazungumza na wanasimba instagram live ili wamueleze changamoto za klabu yao ikiwemo wachezaji gani wafukuzwe katika klabu ya Simba..

Pia amewaomba wanasimba waandae majina ya wachezaji wanaoona wanafaa ili awasajili dirisha lijalo la usaji..

Kwako mwana Simba je unapendekeza nani afukuzwe na nani asajiliwe?
yaani bosi anajadili na mashabiki mchezaji gani wa kununuliwa na sio benchika!!!!
aisee hii timu ina vituko sana...yanga bingwa 10 years kweli
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpg
 
Iyo timu haina kitengo cha scouting, mwisho wa msimu benchi la ufundi halitoi ripoti na mapendekezo? Kuchezea akili za mashabiki wa makolo ni rahisi sana, Rage alikua sahihi.
 
Kwanza kitendo Cha kuwajadili live wachezaji kwenye mitandao ya kijamii ni. Unyanyasaji na uvunjaji mkubwa wa haki za binaadamu . Namwamuru asitishe utopolo huo mara Moja. Kama unataka kuacha wachezaji Kuna njia za kufanya lakini sio kuwapa nafasi mashabiki kuwashambulia mitandaoni. Sisi watetezi wa haki za wachezaji tutarika naye kama mwewe
Kwani Simba si mali yake mkuu? Kuna shida akiamua kufanya hivyo?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.View attachment 2964367
Unaupiga mwingi saana mkuu.
 
Leta Haaland, Leta Mbappe, Leta Vinicious Junior, Leta Rodri, Leta De Bruyne....mbona simple tu dios lazima uwe kocha kujua wachezaji wazuri.... Haya Mlete na Pep Guadiola
 
Back
Top Bottom